TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Nimeshanganzwa sana na taarifa ya TCRA kupitia ITV leo kwamba eti mitambo ya analojia haitazimwa kwa baadhi ya mikoa ambayo eti hakuna mitambo ya dijital.wametaja mikoa kama kigoma,kagera,tabora nk kwamba wataendelea kuona matagazo ya analojia(chenga).

mimi najiuliza hivi mikwara yote ilikuwa ya nini? acheni kutumia fedha za walipa kodi namna hii jamani.
 
Jamaa wanakera kinoma!m nilitegemea tar 1 hapa Singida tutaanza kutumia ving'amuzi!halaf jana kupitia Tbc1 wanasema tusiwe na wasiwasi tuendelee ku2mia madish na antena!ilikua na maana gani kusema wanazima mitambo ya analojia Dec 31?au ndo yale ya Mrisho Mpoto..."maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie..." kila ki2 kipo kiujanja ujanja 2!
 
Dah afadhali maana sina hela ya kununua king'amuzi kwa sasa.:A S angry:
 
Ni vizuri sana hiii mana kule kijijini ni nani ana uwezo wa kununu aking'amuzi hicho? Jua 80% ya watanzania hali zao kipato ni mbaya!!!
 
Nadhani nyie ndio,hamjaelewa! Sio kwamba wameairisha kuzima mitambo ya analojia kwenye mikoa tajwa,ktk uhamaji huu waathirika wakubwa ni zile sehemu ambazo m2 alikuwa ana2mia antena tu ya kawaida na anauwezo wa kuona chaneli za hapa nyumbani,na maeneo haya kwa kiasi kikubwa dsm, pwani na bagamoyo,lakini mikoa mingi ni vigumu ku2mia antena na kuweza kupata matangazo ya tv,ndio maana kuna huduma ya cable na dish ambazo hazitaathirika.kazi ni kwa wakazi wa dar!ndio kutakuwa na mtafutano.
 
hapo white wizard umenena
maana kwa sie wakazi wa dar tuliozoeza antena zetu za mabomba na tube light .
hatakuwa hapatishi siku hiyo mtu wangu
 
Nadhani nyie ndio,hamjaelewa! Sio kwamba wameairisha kuzima mitambo ya analojia kwenye mikoa tajwa,ktk uhamaji huu waathirika wakubwa ni zile sehemu ambazo m2 alikuwa ana2mia antena tu ya kawaida na anauwezo wa kuona chaneli za hapa nyumbani,na maeneo haya kwa kiasi kikubwa dsm, pwani na bagamoyo,lakini mikoa mingi ni vigumu ku2mia antena na kuweza kupata matangazo ya tv,ndio maana kuna huduma ya cable na dish ambazo hazitaathirika.kazi ni kwa wakazi wa dar!ndio kutakuwa na mtafutano.

Hapo n sawa!lkn pia hapa Singida tunaipata Tbc kwa antena...lkn wamesema hawatazima mpaka digitali itakapofika(ambayo haitokuwa tar 1)
 
watu washavuta posho ya kupiga campaign ya analog to digital nchi nzima hapo wanatafuta nyingine........
 
I knew it, kama speed gavana hahaaa!
 
Mimi jana nilicoment kwenye thread ya mtoa mada kuwa Tanzania kila kitu kinakwenda kisanii, mfano nilioutoa ni kusajili line za simu na vitambulisho vya makazi.Kuna watu wa Dar walipanga foleni wakapigwa na jua lkn mwisho wa siku deadline is not a deadline in Tanzania just trust me, mimi ntatumia antena yangu mpak mwaka 2020 maybe is when this things will come into implementation.Wakenya na ujajanja wao na kuwa mbele zaidi hata hawana habari na hii kitu ya digitali au analogia sembuse sisi ambao tupo nyuma sana
 
Nimeshanganzwa sana na taarifa ya TCRA kupitia ITV leo kwamba eti mitambo ya analojia haitazimwa kwa baadhi ya mikoa ambayo eti hakuna mitambo ya dijital.wametaja mikoa kama kigoma,kagera,tabora nk kwamba wataendelea kuona matagazo ya analojia(chenga).

mimi najiuliza hivi mikwara yote ilikuwa ya nini? acheni kutumia fedha za walipa kodi namna hii jamani.
Taratibu sio kulalamika kila kitu, katika mikoa zaid ya 25 kuachwa mitatu ndio iwe kelele ivyo! Watabadili tu nina imani.
 
Sio mitatu tu kaka...hivyo ving'amuzi vyenu vinashika katikati ya mji 2,pembezoni hakuna ki2,2nasubiri wazime simu za kichna sasa
 
Nadhani nyie ndio,hamjaelewa! Sio kwamba wameairisha kuzima mitambo ya analojia kwenye mikoa tajwa,ktk uhamaji huu waathirika wakubwa ni zile sehemu ambazo m2 alikuwa ana2mia antena tu ya kawaida na anauwezo wa kuona chaneli za hapa nyumbani,na maeneo haya kwa kiasi kikubwa dsm, pwani na bagamoyo,lakini mikoa mingi ni vigumu ku2mia antena na kuweza kupata matangazo ya tv,ndio maana kuna huduma ya cable na dish ambazo hazitaathirika.kazi ni kwa wakazi wa dar!ndio kutakuwa na mtafutano.

hapo nimekupata vyema white wizard
 
Wakuu nimenusurika kuuza dishi langu.hawa Tcra wanafanya kazi kisanii mno!
 
Tanzania Tanzania ...nakupenda kwa moyo woooteee.....:blah::blah::blah:
 
Chezeya Reginald Mengi wa IPP Media weye!

Wamechelewa kujiandaa wa hiyo Digitali na hawataki kutumia STARTIMES au AGAPE au ZUKU nk. There could be a connection ya kuahirisha au kusogeza mbele au kusitasita!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Back
Top Bottom