Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Ndio mjue sasa kua chadema ni matapeli hata mbowe itakua kweri aliterza wao wakasema kashambuliwa waongo hawa.
 
chadema wamezoea kuishi kwa uongo
Mbowe kateguka mguu kwa ulevi,kwa makusudi wakasambaza taarifa kwamba kapigwa na wasiojulikana,kama kawaida chama kikatoa taarifa rasmi,huu ni muendelezo wa hadaa zao na kutaka kura za huruma
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Ni kwa mujibu wa taratibu na sheria., ivi ni kweli umeisoma barua yao kweli?
 

Bila kusahau kwamba likitokea hilo pia tuhuma zitawarudia na kuelekezwa upande wa pili kuwa safari hii wameamua kummalizia kabisa kumbe ni wao wenyewe wanashindwa kufuata taratibu.
 
Huu ni UFINYU wa akili, na mazwazwa na mimi mbali mbali.

Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao wa mitandaoni kama wewe BAK siyo tu ni mazwazwa na wenye ufinyu wa akili, kwa hoja yako hiyo, mwaambiwa mna Vioja wakati wanaCCM wana Hoja.

Mmedai chopa imezuiliwa kuruka kwa sababu ya hujuma, wakati ule ule mnadai ujenzi wa miundo mbinu ni "maendeleo ya vitu". Kioja hicho.

Mnadai wanaohudhuria kampeni zenu wanafuata kusikia Sera, badala yake viongozi wenu wanaongelea watu na matukio. Kioja hicho.

Kwenye kampeni Lissu, Mgombea wenu wa Urais anadai Uhuru na Amani, wakati huo huo anahamasisha vurugu ati, uchaguzi huu ni kati yake na Magufuli, ama zake ama zangu. Kioja hicho.

Humu JF mnadai kampeni za CCM watu wanafuata kuwaona wasanii. Kioja hicho. Hamtambui nguvu ya wasanii. Ujumbe unaofikishwa kwa watazamaji, kwa njia ya mziki, una nguvu sana kuliko hotuba. CCM inatambua hilo ndiyo maana wanawatumia. Hoja hiyo.

CCM awali ilidai kuwa haitawatumia wasanii katika kampeni zake, upinzani ukaamini kumbe unaingizwa vichakani. Kioja hicho, au?
 
Mkuu BAK tuwape pongezi viongozi wa Mamlaka kumzuia huyo rubani kurusha chopa maana wangeruhusu na ajali ikatokea, siyo wewe wala viongozi wa CHADEMA wangekubali maelezo. Heri lawama kulika fedheha wahenga walinena
Hawa walishavurugika vichwa, as long as kitu kimeamliwa na serikali au mamlaka yake hata kama kina faida kwao watatafuta namna ya kuki twist wapate jinsi ya kulaumu
 
Swali langu kwa hawa TCAA,Je! hiyo chopa ingekuwa inatumiwa na mgombea wa CCM wangeweza kuzuia hicho kibali?
 
Kwa kupotosha na kupindisha mambo, CHADEMA na Msemaji wao ndio WENYEWE! Hata ukiwambia leo "mvua haikunyesha" hawatakubali ili mradi tu wapinge na kufikia maslahi na matakwa yao. TCCA, hao ndio CHADEMA na siku zote wanadhani WAO WANAJUA KILA KITU NA HAWAKOSEI. Kwa mentality hiyo hawakubali kushindwa na UKWELI. Halafu tunawashukuru TCAA kwa kanuni na taratibu nzuri kama hizo za kutotumia OLD AGED PILOTS. Kwani yakitokea yakutokea, Lissu na timu zake za upotoshaji watakuja na uongo kuwa wamehujumiwa!
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Hiyo sio kazi yao, walichofanya ni kufuata sheria tu kwamba rubani over 60+ haruhusiwi kuendesha chopa basi!
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Sheria za anga ndugu yangu. Walioweka sheria hii watakuwa walifanya utafiti ndo maana wakaja na sheria. Chadema mna nini? Mbona mnapenda kulazimisha mambo?
Na hapa angeruhusiwa halafu likatokea la kutokea bado mngekuja na lawama kwanini walimruhusu.

Chadema akili hawana kabisa, wanafikiri kwa nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…