TBT

Mi sijui,, lakini baadhi ya niliosoma nao wanaonekana wazee kabisa.
Na huwa nikikutana na watu wananiambia kwa nn huzeeki.

labda nilichelewa kuanza starehe na pia najitunza sana kuanzia chakula mpaka vipodozi

Vizuri sana. Nakutakia kila la kheri, kwenye maisha yako. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…