leo dada 😂Na bado hii mpaka babu aimbe
Sema lazima damu ziendane mana wote mnajuaga kutujaza milikes.Bahati sana hii damu kuendana n mtu adimu kama wewe
Nasubiri part 4 dada akeVita ilikuwa ni kali sana........
labda mungu alipanga hivyo
nimelia sana sisy😅😪Mie mafunzo sitoi kipaji sina......
Asante kwa misifq
Haina shida siwezi taja kamweKama umemjua hakuna kutajana majina
Unitag maana miaka hiyo nilikuwa nafanya kazi posta kuleeee.Hiyo utanisemehe mdogo wangu. wanga walishaingia hapa,, ntakushtukiza selfika uzi ukipoa huu
Sasa mbna sisi tulio chelew picha hatuzion sister!?Ila nimegundua unapenda mibinuko mdogo wangu