Kwamba Hanson's Choice fake zipo? Basi nimekwishaPombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi
Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha
Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika akaikuta ipo cheap anachukua tu
Kwasasa usijidanganye kuingia bar na kuagiza pombe za nje na za gharama, maana hapa Nina uhakika 💯 utapewa copy yake, na utaifurahia ila baada ya miaka kadhaa figo zinaanza kufeli
Empty za hizi pombe Huwa ziatafutwa na zinauzwa ili kwenda kujazwa pombe feki, huwezi kuona Kwa vyovyote empty bottle au box ya pombe za gharama mtaani, ajiulize Huwa zinaenda wapi zikishatumika
Ni heri ukiagiza unywe local beer za bei ndogo, ambazo hizi ni ngumu Kwa wahuni kuzitoa copy
Magonjwa ya figo yamekuwa mengi Toka Kwa wale wenye uweZo maana huwa wanakunywa pombe za gharama copy
Ni bar chache mno watauza hizo Hennessy na jack Daniels originalView attachment 3390468View attachment 3390470
MbagalaKuwa makini na kila kitu
Naomba utupe elimu namna ya kutambua kwa kuscan MtaalamKupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
SawaKuwa makini na kila kitu
Hakika MkuuSikuhizi nikiwa localbar bora nipige bia tu, nikienda sehemu ya kueleweka ama nikiagiza mwenyewe (piki) ndio napiga Vitu vizito + Wine.
Hennessy Mwitu yetu (Hanson's Choice) wameisha iharibu, ukija kwenye mua (Konyagi) huko ndio balaa zaidi kila baa ina ladha yake.
ila Konyagi original ambayo haicjachakachuliwa ina ka flavour flani murua sana.
TBS na TRA wanapiga dili na maharamia wa biashara hiyo, wala usitarajie kuona mkono wa Serikali eneo hilo hivi karibuni
Bravo brother. Kwa ku-prove hilo, et PS ndio kiongozi wao, kuna shida mahalaWatanzania matatizo mnayatatua kwa njia za ajabu kabisa. Badala ya vyombo husika kutatua tatizo, navyo vinatoa eti ''mwongozo'' kwa walaji. Wanalipwa fedha za nini? Anyways... kumbe ni CCM ndiyo inaongoza.
Ingia play store utakuta ito app ya traNaomba utupe elimu namna ya kutambua kwa kuscan Mtaalam
Unafanyaje??Kupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
Hahahah hizo za bei ya chini zinaua figo hatari bwasheeTunawaambia njooni kwa mangi kioski tupige double kick, smart gin, cucker, nyagi, vant na valeuer za kupima hamtaki.
Mnajikuta wa kishua mnakula jack daniels, hennesy, whisky za bei mbaya, drostyoff, sijui masavana ili tu muonekane mna kipato.
Acha muumwe hizo figo.
Cc kamanda min -me
Doooh noma sana kwahiyo niachane na smart gin?Hahahah hizo za bei ya chini zinaua figo hatari bwashee
Kunywa hata nyagi bwasheeDoooh noma sana kwahiyo niachane na smart gin?