TBS mko wapi pombe feki zimetapakaa mtaani?

TBS mko wapi pombe feki zimetapakaa mtaani?

Ila Kwa izi Imported Liquor naona kama TRA ndio yupo responsible na Kusimamia Compliance kwasababu Kuna Kampuni inaitwa Sicpa Tanzania ndio wanahusika na Kubandika Label for authentication na wanashirikiana naTRA, TRA yeye ameenda mbali mpaka kutengeza application ya Hakiki stempu Kujilizisha kama hio Pombe ni Halisi
ila still hao wahuni Kwa network wanapata mpaka sticker izo za Sicpa na Kuzibandikaa kwenye Pombe mfano Konyagi ndogo ni vulnable sana Kutumia

Mimi saivi naona Pombe salama ni Local beer tu huko ndio hakuna Majangili kwasababu black market ya Local beer hailipi kabisa ivo beer nyingi local ni genuine.

Jamaa wamepiga kambi kwenye hard liquor izi Imported na Local pia kama Konyagi, Kvant, Hanschoice na smart Gen ambazo sales Volume zao zipo Juu, Ila pia ni jukuma la wenye brand Kulinda Brand zao na Kufanya Ukaguzi ili Kuepusha bidhaa fake, Smart Gin aliwahi kuwa na hio operation

Shida za Hawa watengeneza Pombe hawaweki budget kabisa ya Kupambana na maharamia kwasababu kutengeza trademark ni ngali mno Sasa Leo unaacha wachache waiporomoshe mfano kama Maji ya Kilimanjaro
 
Ila Kwa izi Imported Liquor naona kama TRA ndio yupo responsible na Kusimamia Compliance kwasababu Kuna Kampuni inaitwa Sicpa Tanzania ndio wanahusika na Kubandika Label for authentication, TRA yeye ameenda mbali mpaka kutengeza application ya Hakiki stempu Kujilizisha kama hio Pombe ni Halisi
ila still hao wahuni Kwa network wanapata mpaka sticker izo za Sicpa na Kuzibandikaa kwenye Pombe mfano Konyagi ndogo ni vulnable sana Kutumia

Mimi saivi naona Pombe salama ni Local beer tu huko ndio hakuna Majangili kwasababu black market ya Local beer hailipi kabisa ivo beer nyingi local ni genuine.
Hivi POMBE gani ni tamu sana ukiondoa Pombe zote?
 
Mbagala
Temeke
Gongo la mboto

Hizi sehemu kuna bidhaa fake sana kuanzia maji.

Na hizi take way

Kuna siku juzi hapa nimechukua Pepsi ya buku Ila ilikuwa inaonesha wazi kuwa ni fake.
Njoo tuitest hii mkuu
 
Attachments

  • IMG_6997.jpeg
    IMG_6997.jpeg
    464.6 KB · Views: 5
Mkuu FUTA huu Uzi takulipa mkuu🙏🙏
Konyagi kubwa eff tatu na watu hawashtuki daaah, anyway tunalewaaaaaa

Fullstop, kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom