Nimeshangaa hata mimi ..ndani nna akiba yangu hapa nataka niipige baadae..hii taarifa imenishtuaKwamba Hanson's Choice fake zipo? Basi nimekwisha
unascan pombe saa nane usku ushalewa moja unaletewa Og ya pil fek ya tatu Og znazofata fek kwakua ushawaka unaendelea kuikata..kuna jamaa alscan jagermaster ikaleta barcod ya TshetKupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
Ehhh kumbe nayo wanachakachua?Nyagi nayo ina copy nyingi mkuu
Ndio yaleyale tu.Kunywa hata nyagi bwashee
Mimi kali nakunywa vodka tuNdio yaleyale tu.
Ambae yuko safe labda aanzie kwenye safari lager.
Hizo kali bwashee hata ww uziache
Unaogopa pombe unapanda bodaboda, au unamkula demu wa Tabata bila condomAcha yawaue. Vitabu vyote vya dini vimekataza ninyi mnaendelea kuyabugia kama kwamba tumboni ni jalalani. Endeleeni kukomoa chupa hakuna aliyekulazimisha kuyanywa
Tembelea hospitali kubwa kitengo Cha dialysis Ione shughuli ya jeshiUnaogopa pombe unapanda bodaboda, au unamkula demu wa Tabata bila condom
Walinikosea kuwa wanafki mtandaoni ni mashujaa ila mtaani ni makondooWafuasi wa chadema walikukosea Nini?
Tuache tufe pombe tunakunywa kwa hela za jasho letu.Acha yawaue. Vitabu vyote vya dini vimekataza ninyi mnaendelea kuyabugia kama kwamba tumboni ni jalalani. Endeleeni kukomoa chupa hakuna aliyekulazimisha kuyanywa