TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

Ukishafanya oral ukipasi ndio hua wanapiga simu mara nyingi kuthibitisha ulivoviandika kwny cv ,wengi hua hawapigi hata hizo simu lakini kazi unapata
Pia wengine wanapiga b4 lakini mara chache sana

Asante sana ndugu
 
kwa mnaotaka ratio angalieni walioitwa tbs usaili wa kuandika nafasi 2 watu 140
 
mkuu achana na tbs aiseee,,,unakumbuka mwaka jana waliita watu kwa written pale udsm,lakn wakaja kushortlist watu wachache kwa oral

mi naona wamefanya fair coz wakiita wengi watawapotezea mda.

pili taasisi za serikal mpk uwe na "network" vinginevyo hupati.......ni km nssf bila kua "dini flani" hupati NG'OOOOOO

heshima kwako mkuu #madenge8 ,vp tbs kuhusu maswali yao wanatoa technical questions or general questions asante natanguliza shukrani
 
Ha! Ha! Mimi siji
Ni kweli wengi hawatakuja ukiangalia wengine hadi waombe ruhusa makazini bado wajifue kwa interview huku kaz zinawasubiri
Kila la kher mtaohudhuria ,af kumbe kazi zingine ni contract
Watakaopata kazi wakitaka kuapply sehem nyingine serikalini kipengele cha kupitisha barua kwa muajiri kinawahusu.
 
na kujuana je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom