PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,211
- 4,170
Nachukua,fursa hii kutoa wito kwa shirika la utangazaji Tanzania,na serikali kuona umuhimu wa kuifanya station ya tbc2 kuwa darasa la kutoa elim kwa umma.
Shirika linatakiwa kuandaa vipindi maususi vitakavyowasaidia vijana kumaelimisha waweze kujiajiri yaani elimu ya ujasiriamali.
Kiwe kituo mahususi cha kutoa maarifa ya kibiashara kwa kuandaa vipindi na kuwaita watu waliofanikiwa kutoa elimu kwa umma kulio kuweka nyimbo za kukata viuno masaa24.
Ni bora sasa tbc2 ikafanywa darasa la kutoa maarifa kwa watanzania.
Naomba kuwasilisha.