tbc2 inaelimisha nini watanzania??

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,924
2,000
Nachukua,fursa hii kutoa wito kwa shirika la utangazaji Tanzania,na serikali kuona umuhimu wa kuifanya station ya tbc2 kuwa darasa la kutoa elim kwa umma.

Shirika linatakiwa kuandaa vipindi maususi vitakavyowasaidia vijana kumaelimisha waweze kujiajiri yaani elimu ya ujasiriamali.

Kiwe kituo mahususi cha kutoa maarifa ya kibiashara kwa kuandaa vipindi na kuwaita watu waliofanikiwa kutoa elimu kwa umma kulio kuweka nyimbo za kukata viuno masaa24.

Ni bora sasa tbc2 ikafanywa darasa la kutoa maarifa kwa watanzania.

Naomba kuwasilisha.
 
msweken

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
399
1,000
Kwanza hii sio siasa hivyo peleka jukwaa husika, pili acha kuyafanya maisha yawe magumu, kama haupendi music angalia TBC1 na channel zingine, utajageuka presha kuka kwa ku complicate mambo madogo madogo!
 
tamaudj

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
270
225
Kwanza hii sio siasa hivyo peleka jukwaa husika, pili acha kuyafanya maisha yawe magumu, kama haupendi music angalia TBC1 na channel zingine, utajageuka presha kuka kwa ku complicate mambo madogo madogo!

Nyooko
 
NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
Mleta uzi anahoja nzuri kuwa lengo la Tv ni kuelimisha, kutoa taarifa,kuonya,kuasa, kuburudisha pamoja na kukuza teknolojia kwa kusambaza taarifa. Sasa kama Tv ya taifa itahusika na kuburudisha tu bila hata kuelimisha itakuwa haina maana kwani inatumia kodi ya wananchi haitoki kwa mifuko yao.
 
Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
318

acheni umbulula kuna TBC1 kuna vipindi vingi sana vya kuelimisha. TBC2 ni burudani tu. KAZI NA DAWA. Mbona mengi ana TV 3 muombeni 1 ya kuelimisha vijana kama m takavyo yeye si mtetezi wa wanyonge hasa majobless na kutumia fursa
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,482

Mengi zake hatumii kodi za wananchi kulipa mishahara kama tbc kweli hii nchi kuna majuha
 
MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,217
1,225
acheni umbulula kuna TBC1 kuna vipindi vingi sana vya kuelimisha. TBC2 ni burudani tu. KAZI NA DAWA. Mbona mengi ana TV 3 muombeni 1 ya kuelimisha vijana kama m takavyo yeye si mtetezi wa wanyonge hasa majobless na kutumia fursa

Kwanza wewe Kaka mwisho unaonyesha jinsi gani kichwan ulivyo mtupu. Tbc ni shirika la umma ingewapasa kufundisha umma juu ya maswala mbalimbali yanayotokea ndan ya taifa hili. Pia wangepaswa kuelimisha watanzania umuhimu wakua wazalendo na bdo wakaendelea kuwaburudisha watanzania. Mbona EATV ya Mengi niyaburudan kuliko hata hyo tbc lkn inavipindi vinavyoelimisha kuanzia afya elimu miundombinu utamadun siasa utalii hali halisi ya mtanzania. Hawa tbc2 wabadilie wafanye kazi kama kituo cha taifa.
 
Nikisema

Member
May 22, 2014
41
0
TBC toka wamwondowe tido mhando Sio ya taifa tena niya ccm na wanachama wake ,hii imekuwa Kama Kwamba ITV ndio inayofanya kazi ya taifa Kama ndio TV ya taifa serikali dhohofu li ali lazima iteke vyombo vya Habari viseme itakavyo big up ITV big up mengi
 
adinag

Member
May 13, 2014
87
0
acheni umbulula kuna TBC1 kuna vipindi vingi sana vya kuelimisha. TBC2 ni burudani tu. KAZI NA DAWA. Mbona mengi ana TV 3 muombeni 1 ya kuelimisha vijana kama m takavyo yeye si mtetezi wa wanyonge hasa majobless na kutumia fursa

kijana kubali tu TBC 2 haina faida kwa watz kabisa.
 
kirikuu10

JF-Expert Member
May 4, 2014
249
0
acheni umbulula kuna TBC1 kuna vipindi vingi sana vya kuelimisha. TBC2 ni burudani tu. KAZI NA DAWA. Mbona mengi ana TV 3 muombeni 1 ya kuelimisha vijana kama m takavyo yeye si mtetezi wa wanyonge hasa majobless na kutumia fursa

IPP media ni next level kijana huwezi kufananisha na hiyo iliyogeuza kuwa tv ya chama.
 
kirikuu10

JF-Expert Member
May 4, 2014
249
0
Kwanza wewe Kaka mwisho unaonyesha jinsi gani kichwan ulivyo mtupu. Tbc ni shirika la umma ingewapasa kufundisha umma juu ya maswala mbalimbali yanayotokea ndan ya taifa hili. Pia wangepaswa kuelimisha watanzania umuhimu wakua wazalendo na bdo wakaendelea kuwaburudisha watanzania. Mbona EATV ya Mengi niyaburudan kuliko hata hyo tbc lkn inavipindi vinavyoelimisha kuanzia afya elimu miundombinu utamadun siasa utalii hali halisi ya mtanzania. Hawa tbc2 wabadilie wafanye kazi kama kituo cha taifa.

Kitu chochote chini ya ccm usitegemee kupata kizuri sababu wote ni waganga njaa na walamba miguu wa wala rushwa.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,704
2,000
Star Tv nao wanakuja na Channel nyingine za ziada tofauti na hii tuliyoizoea kupitia king'amuzi chao cha continental
1.Star Habari ~Habari tupu
2.Star Muziki - Muziki tupu
3.Star Bunge -Ni bunge/siasa
4.Star Entertainment -Rubudani tu
 
oluku

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
349
225
Tbc enzi za tdo ilivuta sana hisia za wengi. Kw ss ni hovyooo kabisa. Itv,*tv,eatv,tv1,...ya mkia ni tbc. Wanatumia kodi zetu bure tu. Naangalia kwa nadra sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom