TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

Maombi ya watanzania kuwa kipindi kirudiwe ili wachambue mbivu na mbichi bila kuacha hata chembe!!
Watanzania wengi sio wajinga kama wachache (nyie). Watanzania wamefumbuliwa macho na Dr. Slaa.

Macho yapi wamefumbuliwa ? Wajinga ndiyo wamelala kusubiri kufumbuliwa macho kwa story za kutunga na chuki binafsi, Wajanja, welevu hawawezi kumwamini Slaa kwani maneno yake yametoka mbinguni kwa mungu? Slaa kanunuliwa kishamba ameshuka hadhi yake
 
Mkuu mimi pia nimewaona leo tena nikashangaa sana.hivi watanzania uwadanganye eti ni mawazo ya doctor slaa pekee?slaa ameuambia uma kua bado anakula mihogo na maharage hana hela.sawa tunakubali na aendelee kulatu kama sisi maana wengine pia hatuipati hiyo mihogo.lakini tbc ni chombo cha serikali kinajiendesha kibiashara.nani kalipia matangazo hayo ya slaa kuonyeshwa mara tatu?na hatujui kesho itakuaje.tbc mumeshindwa hata kuonyesha hotuba za mwalim japo kidogo kama itv.mumewezaje za slaa?amedhaminiwa nanani kurusha matangazo hayo?yote tisa kumi nikwamba mumechelewa kama ni meli iko katikati ya maji kama ni mvua ishaleta mafuriko kuyazuia kw mitaro haiwezekani.
 
Mkuu na clauds wamerudia leo
 
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:

TBC kwa makusudi mmejigeuza chombo cha ccm na watanzania tunajua sana na tunakutazameni kwa jicho Kali kabisa
hivho tunakerekwa na hatupendi ila Tunamuachia MUNGU pekee.
 
Kwani kama amelipia kuna ubaya gani?wengine hawakupata nafasi jana,kuna kipi cha kufichwa

jamani si alisema yeye hana ela kwanza yeye na familia yake wanashindiaga mihogo.

Sasa mla mihogo anapata wapi ela za kulipia leo tena (TBC1)(CLOUDS TV) warudie tena hotuba yake?
 
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:

Siyo hivyo tu, hivi ikitokea mtu akaita press conference, halafu akalipia Tv zote na akaanza kusema Magufuli ni fisadi. Halafu akalipia irudiwe mara 3 tena malipo halali kwa TBC1, Je TBC watakuli kurusha? Dr Slaa sikutegemea kama atakua mtu cheap kama hivi, yaani anauza utu wake kwa kiasi hiki,mtu aliyefikia level ya pdre! Ni aibu kubwa sana!
 
adui wa mtu ni yule wa nyumbani kwake. Nukuu ya maandiko matakatifu:
 
Siyo hivyo tu, hivi ikitokea mtu akaita press conference, halafu akalipia Tv zote na akaanza kusema Magufuli ni fisadi. Halafu akalipia irudiwe mara 3 tena malipo halali kwa TBC1, Je TBC watakuli kurusha? Dr Slaa sikutegemea kama atakua mtu cheap kama hivi, yaani anauza utu wake kwa kiasi hiki,mtu aliyefikia level ya pdre! Ni aibu kubwa sana!

Kwani kipindi kurushwa hewani lazima kilipiwe?! Swala la dr sla ni public issue chombo chochote cha habari kingehitaji kwenda hewani na habari ya yake..na Kuhusu habari kurudiwa hewani ni utashi wa chombo cha habari mbona original komedi ikirudiwa hulalamiki,isitoshe kuna watu hawakuiona hiyo hotuba so hakuna ubaya wa kurudia,Wengine kama mbatia leo wameitisha press kwa vitu ambavyo hawakuelewa so na yy imemsaidia.
 
Wanarudia kwasababu watu wengi walikuwa makazini hawakupata muda wa kuangalia kasoro wewe unashinda JF ni haki kila mwananchi kupata habari hata ikiwa mbaya kwako nzuri kwa mtu mwingine warudie tu hata mara mia poa tu kama wewe huipendi change Chanel hata clouds TV pia wamerudia si tbc pekee yao.
 
Nzomba hiyo speech ya Dr. slaa irudiwe kila siku
 
naomba hiyo speech ya dr. slaa irudiwe kila siku hadi Oktoba 25
 
Hivi bado kuna malofa wanaangalia TBCCM? Mtalishwa mihogo, shauri yenu! Hilo mnalo, maneno ya mshindwa slaa hayatuyumbishi, lazima mng'oke!
 
Back
Top Bottom