TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

Vizuri anayejibu aite press atoe maelezo na yenyewe yarudiwe
 
ImageUploadedByJamiiForums1441252750.382865.jpg
 
Mungu mkubwa haya yote ipo siku yatajulikana tu maana kila kitu kimeanza kuwa waz....ushahid ushaanza kukusanywa utawekwa hadharan kuanzia point A mpaka mwisho wa movie nzima...kwa bahati mbaya hao hao wanaokaa nao kupanga mipango wanageukana ndio wanatoa siri nje....
 
Kwani kama amelipia kuna ubaya gani?wengine hawakupata nafasi jana,kuna kipi cha kufichwa

Yaani masikini mla mihogo na maharage aweze kulipia airtime kwenye tv kwa siku tatu mfululizo!? Kwa uongo huu mnazidi kumharibia Slaa!
 
mh mbatia jana alimjibu slaa mbna hawakuonyesha marudio au ata live alivyokua anaongea!!!!? kweli hii ndio risasi ya mwisho ya CCM
 
mimi na familia yangu uwaga atuangalii ilo litbc ni bora nikazime ata umeme kuliko kuiangalia
 
Nayo ni channel hii ya kuangaliwa,itakuwa inaangaliwa na makada wa chama chao tu...
 
Sasa tunaanza kujiuliza kulikoni? Jama mmerusha live, mkarudia tena usiku wa jana, leo tena mnarudia tena?

Mbona wakati wa Lowassa kuama CCM kwenda CHADEMA hamkurusha? Na ikizingatiwa huyu alikuwa na wadhifa mkubwa sana katika serikali?

Mbona sumaye alipo ondoka CCM na kujiunga na UKAWA hamkurudia na huyu ni mtu mwingine mzito?

Kwanini Dr. Slaa?

Kuna nini nyuma ya panzia? Ina maana Dr Slaa ni mtu mkubwa kuliko hawa hambao hakuona humuimu wa kuweka habari zao kama mnavyofanya kwa Dr. Slaa?

Naomba kuwasilisha:

Na hapo ndipo wanapo prove failure CCM.
 
Hapo bila shaka wala chenga wanatuaminisha huu ulikuwa mpango wa ccm maana hii tbc1imegeuzwa kuwa mali ya chama.
 
watanznia kwa moyo wa dhati kabisa kuwa tuko tayari kwa mabadiliko na kuhakikisha hili tutamchagua mh. Lowasa kuwa raisi wa tano wa jmt.
 
Kazi ya vyombo vya habari vya serikali yoyote duniani ni kufanyia propaganda serikali ya chama iliyoko madarakani. Hayo aliyasema FT Sumawe,bungeni 2007.
cc😡PRINCE CROWN HAMY-D minyoo youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Makubaliano Mzee kauza CD kwa hiyo kilichokuwa kinafanyika Serena ilikuwa kukamilisha rekodi.
Kweli ulitegemea kama ile hotuba ingekuwa toka rohoni mwake mla Mihogo kweli ingefanyika Serena?. Na bado akiamini watu watamwamini tena!

Acheni masihara muda mwingine huhitaji elimu hata ya darasa la saba kuelewa mambo.

 
Wairudie tu hata kila siku.. Watanzania walishachagua upande siku nyingi.. tukutane octoba 25
 
Back
Top Bottom