TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

I beg to differ, mengi ya hayo waliyoripoti ni ya kweli.
Tatizo ni wewe ambaye unasikiliza yanayokufurahisha na ku shout kama kichaa yakisemwa usiyoyapenda.
Kwa mfano, ni kweli kuwa Ulimwengu alisema tujirekebishe kimaadili (kujenga what he called national ethos) kabla ya kuandika katiba.
Tena Ulimwengu aliendelea kwa kusema wa Tz hawawezi kuandika katiba kutokana na hali yao, corrupt na ignorant.

 
Na hapo JK amesema ataunda tume,,JK angekua agaist katiba,,mchakachuo ungekua wa aina yake.
 
Ya Tundu Lisu wamechakachua kabisaaa, na hayo ya wengine (u have doubts, no so?)? huna uhakika na usemacho?

 

Amanibaraka, taarifa ya habari yenyewe umeiangalia, lakini je ulimwengu alisema hamna haja ya katiba mpya, alitaka tujirekebishe kwanza? au na wewe mfanyakazi wa TBC1 nini? Alafu shivji alisema hamna haja ya katiba mpya, na kwamba alimuunga mkono Kikwete mfumo wake wa tume? na kwamba Tundu lisu alisema hamna haja ya katiba mpya? hayo ndo yaliyolipotiwa na TBC1. Tatizo langu liko wapi? mi napenda shirika letu lituhabarishe kama habari zilivyo, kwa ukweli wake. kama wewe unahisi TBC1 hawajafanya upotoshaji, basi buriani.
 
Ya Tundu Lisu wamechakachua kabisaaa, na hayo ya wengine (u have doubts, no so?)? huna uhakika na usemacho?

Nimegundua, kukuelewesha wewe, ni sawa na kubishana na mwendawazimu, hamuwezi kuelewana. kama ulikuwepo kwenye kongamano, na umeangalia habari ya TBC1, utakua unajua naongelea nini, na kama bado hutaki kukubaliana na mimi basi BURIANI, ila kama kuna kimoja ulikikosa either habari ya TBC1 au kongamano lenyewe, basi nimekusamehe.
 
Hivi kumbe TBC walikuwepo pale kwenye kongamano? Mi sikuwaona kabisa... labda hizo habari wamesimuliwa tu
 

Rostam the hero, kakukaa rohoni, au ukimtaja ndio unauza vizuri fitina zako?
 
hiyo tv iwekeeni parental guide muipige chini tu. hafu weka password bila kuangalia ili usiikumbuke!
 


AMANI - unayosema huwenda yanukweli lakini Je, TBC1 walisema kuwa Shivji alisisitiza mjadala huo usipelekwe Bungeni kutingiwa sheria ya Kuunda Katiba mpya kwa kuwa CCM imeshapoteza cridibility katika kujali maslahi ya taifa hivyo itapindisha mahitaji halisi ya katiba kwa manufaa ya watu wachache?; Tafadhali nifahamishe hilo maana sikuangalia taarifa ya habari ya TBC1 ila nilikuwa kwenye Mdahalo!
 

Papa D hebu muulize, maana mi huyu jamaa siwezi kumuelewesha kitu, wala hayo uliyoyaandika hawakusema kuwa yamesemwa, waliishia tu kukuwa hakuna katiba isiyo na mapundufu, na mapungufu yaliyomo kwenye katiba yetu, yanaweza kurekebishwa bila katiba mpya, na wakaacha kuongelea kwamba alisema katiba mpya ni lazima kwa sababu iliyopo haina uhalali, na kwamba lazima kuwe na mkutano mkuu wa kikatiba ila iwe katiba ya wananchi, na sio ya serikali kama ilivyo hii. Hayo hawakuongea kabisa TBC1.
 
Nimeona jinsi ilivyokuwa,na nikaujua angalau ukweli,unajua siku zote nachangia ukitaka kujua ukweli msikilize na wa upande wa 2,kila siku mnasema police wameuwa police wameuwa ,hv mlitaka mpk mfike kituoni muwauwe police ,mchukue bunduki ,muwatoe washtakiwa wenu ndo mjisifu??nimegundua ki2 viongozi wa cdm wanamapungufu vichwani,tena police wamejitaidi sn kupunguza idada ya vifo mlitakiwa kufa wengi zaidi.natoa oja polisi sio chanzo cha vifo arusha ila viongozi wasio na busara ndio chanzo,heti ndo tumpe nch pambafu.
 
TBC1,unaiangalia yanini?watendaj wake ni makasuku wanaowaimbia watawala,ili wasinzie!
 
Mi pia shahidi niliangalia TBC1 jana usiku. Niliumia SANA SANA NA UPOTOSHAJI WA HALI YA JUU!!! TBC1 sasa imekua JANGA LA TAIFA. Bahati nzuri watu wanaacha kuiangalia, wala haitadumu kabla haijafa, Mungu atasikia kilio cha wanyonge. ............R.I.P TBC1........
 
CDM nao wapewe airtym based on TBC questions. otherwise CDM weka matukio yote ya Arusha kwenye CD bila kuedit. Mutauza kukijengea chama uwezo na pia kutupa ujasiri.

yah i support you in that uongozi wa chadema nao uandae documentary yao iutangaze ili watu wajue ukweli-we are tired of this shit propogandas
 
bahati nzuri itv walirusha live. Ila nasikitika kwa maeneo ambayo itv haifiki then tbc1 inafika
 


  • Hivi hiyo video ya matukio yaliyotekea Arusha imeandaliwa na TBC, Polisi, Chadema au CCM? Nauliza hivi kwa sababu yoyote atakayeiandaa kati ya hawa lazima atakuwa biased ili kulinda maslahi yake
  • Hii video ilikuwa wapi siku zote tanga siku ya tukio tarehe 5, kwa nini haikuonyeshwa tarehe 6 au saba, na kwa nini imetoka baada ya Polisi kutoa taarifa yao kwa umma?
 

Wana JF naona tusubiri maana nadhani hata vyombo vya nje (BBC, CNN, Radio fance int.)defnately vilikuwapo kwenye eneo la tukio mbali na wanahabari wa local media ambao si wa TBC1 wali record matukio yoote. TBC wakimaliza tuwaombe Channel Ten, waonyeshe version yao, then ITV, Star TV and hata kama kuna mtu alirecord kwa ameture video camera tutalinganisha tu so lets not put a cart in front of the hourse!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…