TBC1 sasa yasusa kuonyesha "laivu" NEC ikitangaza matokeo ya urais! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 sasa yasusa kuonyesha "laivu" NEC ikitangaza matokeo ya urais!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Nov 4, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Jamani kweli inashangaza sana...............Pamoja na TBC1 kupitisha bango la kuwa NEC inaendelea kutangaza matokeo ya Uraisi sasa TBC1 wamesema haitaendelea kuonyesha zoezi hilo likiendelea kwa sababu ambazo TBC1 wameamua kuzikalia..................

  Maoni yangu binafsi.................

  Ninahisi kauli nzito ya Dr. Slaa juu ya NEC ikishirikiana na Idara ya Usalama wa taifa wameshirikiana kuchakachua matokeo ya Uraisi na yale yanayosomwa ni ya kupikwa mezani tu na wala hayana uhusiano wowote ule na yale yaliyopatikana kwenye vituo vya kupigakura.............

  Sasa kwani TBC1 wanafanya hivyo? Pengine wanahisi wapigakura wenye hasira na ambao wanajua majimbo yao yalivyopigakura wanaweza kuleta rabsha kwa hasira ya kuchezewa na dola ile haki yao ya kikatiba ya kujichagulia viongozi wawatakao................
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo nenoooooooo, uhuru wa vyombo vya habari kuwahabarisha watu umekiukwa, vipi startv ambayo karibu huonekana nchi nzima kwa antenna wanaonyesha?:A S angry:
   
Loading...