Elections 2010 TBC1 sasa yasusa kuonyesha "laivu" NEC ikitangaza matokeo ya urais!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Jamani kweli inashangaza sana...............Pamoja na TBC1 kupitisha bango la kuwa NEC inaendelea kutangaza matokeo ya Uraisi sasa TBC1 wamesema haitaendelea kuonyesha zoezi hilo likiendelea kwa sababu ambazo TBC1 wameamua kuzikalia..................

Maoni yangu binafsi.................

Ninahisi kauli nzito ya Dr. Slaa juu ya NEC ikishirikiana na Idara ya Usalama wa taifa wameshirikiana kuchakachua matokeo ya Uraisi na yale yanayosomwa ni ya kupikwa mezani tu na wala hayana uhusiano wowote ule na yale yaliyopatikana kwenye vituo vya kupigakura.............

Sasa kwani TBC1 wanafanya hivyo? Pengine wanahisi wapigakura wenye hasira na ambao wanajua majimbo yao yalivyopigakura wanaweza kuleta rabsha kwa hasira ya kuchezewa na dola ile haki yao ya kikatiba ya kujichagulia viongozi wawatakao................
 
Hilo nalo nenoooooooo, uhuru wa vyombo vya habari kuwahabarisha watu umekiukwa, vipi startv ambayo karibu huonekana nchi nzima kwa antenna wanaonyesha?:A S angry:
 
Back
Top Bottom