Elections 2010 Matokeo ya NEC ni Uongo Mtupu na Hujuma za Hali ya Juu!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
0
Nawaomba Watanzania Wenzangu Upitie Web Site ya NEC The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage Soma Matokeo ya Uraisi na Utapata Hasira na Mtanzania Yeyote Anae Fuatilia Siasa na Alifuatilia Uchaguzi 2010 Atatujua Kitu Gani Tunazungumiza.

Nitaanzia Mkoa wa Kimaranjaro Ambako Upinzani ni Very Strong; Ukiangalia Kura Walizopewa Kikwete na Dr Slaa ni Kichekesho Mtupu. Wewe Chadema Walivyo na Support Utategemea Wabunge wa Upinzani Walivyoshinda Moshi, Kikwete Angepata Hizo Kura Wanazoripoti NEC. Aibu Aibu, Hata Hesabu Hamjui, Hao Waliotumia Hizo Computers to Cheat are Real Foolish.

Mkoa wa Mara: Chadema are Very Strong There na Upinzania Ukikuwa Strong na Hata Mtanzania Yeyote Akiangalia Matokeo Ataona Hizo Kura ni Wizi Tu.

Mkoa wa Dar na Moro: Upinzani Upo Very Strong na NEC Imeipa CCM Kura Nyingi. Kweli Wanatakiwa Watiwe Ndani. Mkoa wa Mbeya, Arusha na Mwanza: Upinzani Upo very Stong na Utaona Hawa NEC Wamedanganya Tena.

Kwanini Nazungumzia Haya? Huko Nchi Zilizoendelea Kuna Kitu Kinaitwa Pre-polls na Exit Polls. Hizi Tools Zinatumuka Kuanalyze Temperature za Elections na Sasa Hivi ni Big Investment in Foreign Countries Zinaamika Sana. Ukiangalia Political Consultants Wengi Wanaangalia Hizi Polls na Wanajua Kila Chama Kina Demographic Zake Strong Hold. CCM Wako Strong Vijijini na Sababu Kubwa people are less educated na Hawapo Informed na Ukweli ni Kwamba Very Few People Today Live in Villages.

Why We Believe Chadema Won This Election?

Tanzania Has Changed na More and More People are Educated na Wako Informed Jinsi Inchi Inavyokwenda na Vitu Gani Viongozi Wanatakiwa Wafanye Wakiwa Madarakani na Kitu Kikubwa Sana Hii Miji Inawananchi Wengi Kwa Sababu ya Economic Resources Zinapatikana Ukilinganisha na Vijijini.

Miji Hii Mikubwa Yote Kuanzia Dar, Moro, Iringa, Mbeya, Moshi, Arusha, Mara, Mwanza, Kigoma, Bukoba na Shinyanga. Hii Miji Inapopulation Kubwa Ambayo Yote Ilikuwa Imechukuliwa na Chadema. Tawi la CCM, NEC Walikuwa Wanafahamu Hii na Ndio Sababu Kubwa Walifanya Kila Njia Kuzuia Any Kind of Transparency, Kuchelewesha Kutanga Matokeo Kwa Sababu Yakitangazwa Kila Kituo Wananchi Wangejua Mwelekeo wa Matokeo Kwamba Kikwete Kashindwa na Ingekuwa Ngumu Kubadilisha.

Vyombo vya Usalama Vimetumika Sana Kukusanya Matokeo na Masanduku Haraka Haraka Vituoni Ili Wananchi Wasijue Idadi ya Kura Kila Kituo. Vyombo vya Ulizni Vikiongozwa na Usalama wa Taifa Vimesimamia Kila Njia NEC na Makame Walinde Information Zozote Zile Zisitoke.

Tunajua Uchaguzi Walishashindwa na Tunajua Documents Nyingi Hasa Kura Zilizopigwa na Wananchi Kihalali Wamedestroy na Kuziingiza Kura za Kufoji. Tegemeo Kubwa la NEC, CCM na Usalama wa Taifa Ni Kwamba Chadema Wakita Kura Zilirudiwe Tena Kuhesabiwa au Wakileta Ushahidi Wao, NEC Itasema Tutafanya Uchunguzi Lakini Ukweli ni Kwamba Wanataka Wajue Vitu Gani Chadema Inajua Ambavyo Wao Hawavijui.

Kitu Chadema cha Kufanya ni Kupeleka Ushahidi EU Monitors na Nchi za Nje na Tunategemea Support UN na Mashirika Mengine Duniani Kuwaadhibu CCM na Mawaziri Wao. Kama Hizi Foreign Institutions Zinaendelea Kuisadia Tanzania ni kwa Manufaa ya Nani? Funds Zote Zilizotolewa na Wafadhili na Nchi Donors Ndizo Zinatumuka Kuwahonga Wananchi na Vyombo vya Ulinzi, Haina Haja ya Kuwa na Official Contact na Serikali ya CCM.

They Run Fraud Election and They are Undermining Tanzania Democracy!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom