TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
 
mods badilisheni hiyo title wekeni
(wazee wa picha nyeusii bwana!!)
 
Natazama taariba ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa lea mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa marekani basi mweeh?! Huo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redion, yaan ni ujinga mtupu hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
Walishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
 
Walishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
Tena wamemtuma na mwandishi wao kabisa, mwanamama anaripoti all the way from washngton d.c, eneo la white house
 
Back
Top Bottom