TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

du hawa jamaa kweli kiboko....
uchaguzi wa mwaka jana walikuwa wakisuasua vibaya na walizidiwa ueledi na TV karibu zote za hapa bongo sasa kutuma mtu kwenda kufanya coverage ya uchaguzi marekani lazima itakuwa ni kituko..
Ngoja tuone...
 
Mbona wako poa mm naangalia kama kawa..sio lazima upingane na kila jambo..
 
Back
Top Bottom