TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

Kipind yupo tido mhando alijitahid sana kuifanya ya kisasa ila siku hiz ipo hovyo mm siwez hata kuangalia taarifa yao ya habari ni hovyo hovyo wakuu ,vipind vipo hovyo yataka moyo kuviangalia
 
Huo uchaguzi unafaida gani kwetu,kama sio matumizi mabaya ya kodi zetu yamefanyika ?.
 
Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ya kwao yamewashinda........wataweza huko!!!!
 
Tena wamemtuma na mwandishi wao kabisa, mwanamama anaripoti all the way from washngton d.c, eneo la white house
Si wamenyimwa wasisafiri hawa jamaa nani kamruhusu kwani kule hamna ubalozi?
 
Kumbe kuna watu bado wanaangalia hiyo tv. Bunge linalotugusu hatuoni live uchaguzi wa Marekani unatuhusu nini mpaka kuwe na live coverage ya TBC ,
Tumezoea, kilimo cha mahindi marekani. Si unajua tena vizur vyote vnatoka huko[emoji3] [emoji3]
 
Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
Wasiporepoti Mwishowe tunyimwe Misaada bureee....

Hahahaahahah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
TBC bora tu ifungiwe maana inaonyesha ujinga mwingi
hahaha hahaha
Wasifungie bwana ila waifanye iwe ya cartoon hasa za ubongo kid na Akili and me, mana naona ndicho kitu walichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha.
 
TBC bora tu ifungiwe maana inaonyesha ujinga mwingi
Kama TBC imeshindwa kuwapa wananchi wake live coverage kwa kisingizio cha gharama kuwa juu imewezekanaje kwenda Ku cover ushaguzi wa Marekani ambao ni gharama zaidi jambo ambalo halina maslahi kwa wananchi kuliko Bunge kama haikuwa danganya Toto?1
 
upload_2016-11-2_5-51-32.png
Afadhali uweke cd ya katuni
 
Unamoyo kuangalia hiyo channel.
Mkuu hii channel ndo huwa tunaangalia bando ikikata. Katika hali ya kawaida huwezi kupoteza muda kwa kuangalia TBC[emoji3]
 
Sisi tunaangalia kama kawaida. Vipi watangazaji wote wa itv wakihamia tbc je utaingalia?
Mkuu hapa tatizo sio jina la station, tatizo ni ubora wa matangazo. People are after quality. Taarifa inaweza kuwa ni ileile lakini itv ikaonekana na kusikika vizuri ukija tbc picha imepauka na sauti inakwaruza. Ni shidaaa
 
Back
Top Bottom