Trueboy
Member
- Jul 9, 2012
- 98
- 72
TBC wana vibwekaWalishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
TBC wana vibwekaWalishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
TBC wana vibwekaWalishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
Nina miaka kama sio 7 basi 8,sijasikiliza wala kuangalia hiyo redio wala TV yao,mambo yao mengi huwa nayasoma humu.
TBC hawataki kuwa wa kisasa.
Ujinga na Upumbavu.
Unamoyo kuangalia hiyo channel.
wao sio wa 'kitaifa' bali wako 'kichama'Mnhh.. Watanzania rejeeni katka utaifa. haya mapovu ni hatarii.
Sisi tunaangalia kama kawaida. Vipi watangazaji wote wa itv wakihamia tbc je utaingalia?Nina miaka kama sio 7 basi 8,sijasikiliza wala kuangalia hiyo redio wala TV yao,mambo yao mengi huwa nayasoma humu.
Weka CD jombaa, nikiwa kweny daladala nikisikia upuuzi wa TBC nashuka napanda gari lingine[emoji1]Tatizo bando limekata imebaki tbc pekee so sina namna
Mnapiga kelele kuhusu tbc, ila mnajifungia na kuiangalia na kuzuga salio limekata, zima kalale.Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
Au nenda YouTube uangalie hotuba za Baba wa taifa ili uelimike zaidiTatizo bando limekata imebaki tbc pekee so sina namna
Mnhh.. Watanzania rejeeni katka utaifa. haya mapovu ni hatarii.
Yani hadi makada wenyewe hawaitazami hii TV ujue ni jinsi gani inapoteza bure hela za walipa kodiMweee! Ndio maana TBC kimekuwa kituo cha mwisho kwa wingi wa watazamaji! Yani sipati picha TBC inazidiwa hadi na kaTV kama Abood Television!