TBC yasalimu amri kwa CHADEMA

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
leo kwenye taarifa ya habari ya tbc1 kwa mara ya kwanza wameonyesha taarifa ya maandamano na mkutano wa CDM huko Njombe.
wameamua hivyo baada ya wadau mbalimbali wa habari na maendeleo kuishambulia na haswa wakiongozwa na wazalendo wa JF.
This shows how powerfull JF is. keep it up.
wameonyesho kuhusu wabunge wa cdm kutetea umma bungeni na kama serikali haitasikiliza watarudi kwa waajiri wao yaani wananchi ili waamue nn cha kufanya.
 
Danganya toto tu. Baada ya hapo tutawaona kina Mbowe kupitia TBC1 wakiwa bungeni mwezi wa sita
 
Inawezekana wanabanwa na Wafadhili maana kwa sasa hawana hela na inabidi wapate hela ili walau waishi zaidi huku wakifikiri cha kufanya hapo mbeleni mara Chadema ikiwa juu zaidi.

Watu wakikosa mishahara miezi miwili na huku wao wananunua Maroli 100 kwa mkupuo, basi patakuwa hapatoshi.

Sidhani vyombo kama JF vimelazimisha kwa hali yoyote ile maana jamaa ni viziwi kwa watu wao. Ila akikohoa Mgeruma, UK, USA basi wanakuwa hawana la kufanya ila KUACHIA NYUZI hewani...........
 
Kama wametubu zambi zao na kuamua kutenda haki nawatakia kazi njema.
Kama ni kutuzuga amin nawaambia bado kitambo kidogo.
 
TBC1 wale ni CCM sana hakuna swala la kukosa pesa wala nini . Hawana uzalendo na wao wanaamini ni CCM pekee yenyehaki ya kutangazwa TBC1 lakini hayo yana mwisho wake
 
Ivi humu JF .. hakuna watu wa CCM.....au ni Unafiki.. maaanaaa kila mtu anajifanya CDM.... AFFUU WENGINE WAZEE WAO MAKADA WA CCM..

. Sorry im out of the thread.. Im jus concerned about that
 
Hapana mie naamini wamegundua wanafanya makosa zaidi ya yote baada ya kuona mrithi wa komba mzee mkama ambae yko kanda ya ziwa anaonyeshwa sasa wanahisi wakimwonyesha huyo wakati chama tawala cdm kiko kwenye harakati watazomewa na bora kuangalia katuni na si TBc ila mwisho wa siku watajuta iko siku kwani saa ya ukombozi imefika na hawana pakutokea sasa hata kunguni awe na hasira hawesi kula godro
 
TBC wamevua gamba nao!
Wanasoma Upepo, na wanaelewa wazi by the end of 2015 wasipotangaza kwa usawa watakosa kazi huku wanaipenda!
 
Nilishawahi kusema kuliko nitizame Tbc1 bora niangalie katuni ktk tv pengine nikapunguza stress,inabidi tbc1 wabadilike sivyo siku wakikumbwa na wimbi la mabadiliko kwao itakuwa ni aibu sababu tbc1 ni chombo cha umma wa Watanzania na sio ya ccm(magamba.com)VIVA CHADEMA BILA KUCHOKA IPO SIKU WATAJUA NI NINI MNAMAANISHA SIKU ZOTE.
 
Ivi humu JF .. hakuna watu wa CCM.....au ni Unafiki.. maaanaaa kila mtu anajifanya CDM.... AFFUU WENGINE WAZEE WAO MAKADA WA CCM..

. Sorry im out of the thread.. Im jus concerned about that

kwa hyo Baba akiwa ccm mtoto naye anatakiwa kuwa huko?
 
tv yao ilimekosa mvuto kwa watazamaji, kwasababu chadema ni tumain jipya lililodhamilia kuleta mabadiliko ya kweli kwa watanzania na hata mukama alisema bila kachumali chakula ladha hakuna(apetait)
 
Ivi humu JF .. hakuna watu wa CCM.....au ni Unafiki.. maaanaaa kila mtu anajifanya CDM.... AFFUU WENGINE WAZEE WAO MAKADA WA CCM..

. Sorry im out of the thread.. Im jus concerned about that

magamba mbona yapo mengi?
 
Inawezekana wanabanwa na Wafadhili maana kwa sasa hawana hela na inabidi wapate hela ili walau waishi zaidi huku wakifikiri cha kufanya hapo mbeleni mara Chadema ikiwa juu zaidi.

Watu wakikosa mishahara miezi miwili na huku wao wananunua Maroli 100 kwa mkupuo, basi patakuwa hapatoshi.

Sidhani vyombo kama JF vimelazimisha kwa hali yoyote ile maana jamaa ni viziwi kwa watu wao. Ila akikohoa Mgeruma, UK, USA basi wanakuwa hawana la kufanya ila KUACHIA NYUZI hewani...........
Naunga mkono hoja¿¿¿¿¿¿¿¿
 
Back
Top Bottom