TBC yasalimu amri kwa CHADEMA

Chadema watnatakiwa wawe na kituo cha television an redio
na watatengeneza pesa kwa kutumia hizi media through advets na vitu vingine na pili ni source ya ajira watakuwa wametengeneza ajira nyingi kitu ambacho si haba
Amani iwe nanyi:
 
Inawezekana wanabanwa na Wafadhili maana kwa sasa hawana hela na inabidi wapate hela ili walau waishi zaidi huku wakifikiri cha kufanya hapo mbeleni mara Chadema ikiwa juu zaidi.

Watu wakikosa mishahara miezi miwili na huku wao wananunua Maroli 100 kwa mkupuo, basi patakuwa hapatoshi.

Sidhani vyombo kama JF vimelazimisha kwa hali yoyote ile maana jamaa ni viziwi kwa watu wao. Ila akikohoa Mgeruma, UK, USA basi wanakuwa hawana la kufanya ila KUACHIA NYUZI hewani...........

Sikonge mbona umebadili sura, niliizoea ile hii mmh!
 
Hivi nyie hamuijui TBC heeee! Wajinga ndio waliwao! Kuna taarifa kwamba hata wana CCM wenyewe wameichoka TBC kwa sababu taarifa za kupuyanga kwa Nape na Mkama mikoani hazina mvuto hata kwao.
 
TBC imekuwa FAIR kila siku, ni nyie tu wana Chadema ndio ambao hamuoni habari zenu zikitangazwa.

Mimi mara nyingi naona mambo ya vyama pinzani TBC tatizo lenu mnataka kila maandamano ya Chadema yarushwe LIVE na TBC hata kama ni kudai Slaa aongezewe mshahara hahaha!!!!:biggrin1:
 
leo kwenye taarifa ya habari ya tbc1 kwa mara ya kwanza wameonyesha taarifa ya maandamano na mkutano wa CDM huko Njombe.
wameamua hivyo baada ya wadau mbalimbali wa habari na maendeleo kuishambulia na haswa wakiongozwa na wazalendo wa JF.
This shows how powerfull JF is. keep it up.
wameonyesho kuhusu wabunge wa cdm kutetea umma bungeni na kama serikali haitasikiliza watarudi kwa waajiri wao yaani wananchi ili waamue nn cha kufanya.

wamebana wameachia. haha!

na bado!
 
Naomba uthibitisho wa hapo nilipo RED.

Kwani hio ni taasisi tene inaongozwa kwa mujibu wa sheria na kufata utawala bora na haiwezi kufanya kazi kwa maneno ya mitani au kwa magazeti. Je JF mliandika barua kulalamika kwa hilo. Tuonyeshe hiyo barua kwa MD wa TBC ya kulalamikia hilo ili nasi tujiridhishe na maneno yako.
 
nilishaachaa kuangalia tbc, habari na kila kitu. toka tido aondoke imeshaanza boa ile mbaya. habari zenyewe ni za upande mmoja tu. habari zote siku hizi nazipatia humu humu jamii forums, sema tu nakosa picha.
 
Wanaweza kufanya kama walichokuwa wanafanya kipindi cha kampeni, hawaonyeshi umati mkubwa wa wahudhuriaji wanaonyesha watoto tu, hawaonyeshi watu wakishusha hoja nzito wataonyesha pale walipo telelza kidogo
 
leo kwenye taarifa ya habari ya tbc1 kwa mara ya kwanza wameonyesha taarifa ya maandamano na mkutano wa CDM huko Njombe.
wameamua hivyo baada ya wadau mbalimbali wa habari na maendeleo kuishambulia na haswa wakiongozwa na wazalendo wa JF.
This shows how powerfull JF is. keep it up.
wameonyesho kuhusu wabunge wa cdm kutetea umma bungeni na kama serikali haitasikiliza watarudi kwa waajiri wao yaani wananchi ili waamue nn cha kufanya.

Walipomtimua Tido walidhani moto umezimwa. Leo hii wanakiri kuwa kidogo tu TBC1 iwe kama magazeti yasiyo na wateja tena.
 
Back
Top Bottom