<br /><font size="3">nakumbuka siku ya tukio siku nzima TBC1V walishinda wakipiga miziki ya kidunia ka tukio limetokea ulaya vile,frankly speaking ur manipulated</font>
hii hii unayoifahamu. Nchi hii maajabu hayaishi..TBC hihiii ninayoifahamu au kuna TBC nyingine Zanziba?
TBC hihiii ninayoifahamu au kuna TBC nyingine Zanziba?
Unaipa TBC pongezi ya nini jamani au pongezi za porojo! Kama mtakumbuka wakati ajali imetoka usiku wa kuamkia Jumamosi.
TBC asubuhi ya Jumamosi saa moja wanasoma taarifa ya habari kwa chini ya TV yanapita maandishi madogo yanasomeka, kuna Meli inahofiwa imezama Unguja taarifa kamili tuwaletea baadae.
Wakati BBC, CNN, El Jazira, Press TV ya Iran, CCTV ya China, wametangaza hii ajali saa kumi na mbili asubuhi. Halafu TBC wanapewa pongezi
<br />Mbuzi wa Bwna Heri na shamba ni la Bwana Heri. ndivyo inavyoonesha.