TBC Yapewa pongezi kwa kuripoti vema Tukio la Kuzama kwa Meli-SMZ

Zinedine

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,188
694
Tanzania ni Nchi ya ajabu sana, unaweza kufa bila siku zako kwa matukio yasiyofanana na level ya akili ya Binaadamu. Kwa mujibu wa Taarifa ya Habari ya TBC eti imepongezwa na SMZ(Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuripoti bega kwa bega tukio la kuzama kwa meli lililotokea katika eneo la Nungwi. Binafsi nilishangazwa sana na kujiuliza ikiwa kweli SMZ ndio hii au imeibiwa Password yake na TBC then wakatoa pongezi hizo. Wakati wengine tuliopoteza vipenzi vyetu tukiwa katika mgomo baridi na TBC kutokana na wao kurusha taarab na ndombolo wakati watu tukitaka kujua kinachoendelea hata kupata habari kupitia Aljazeera na BBC, eti serikali tunayoiamini ndo inafanya haya-msiba mkubwa huu jamani.
 

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
892
Unaipa TBC pongezi ya nini jamani au pongezi za porojo! Kama mtakumbuka wakati ajali imetoka usiku wa kuamkia Jumamosi.
TBC asubuhi ya Jumamosi saa moja wanasoma taarifa ya habari kwa chini ya TV yanapita maandishi madogo yanasomeka, kuna Meli inahofiwa imezama Unguja taarifa kamili tuwaletea baadae.
Wakati BBC, CNN, El Jazira, Press TV ya Iran, CCTV ya China, wametangaza hii ajali saa kumi na mbili asubuhi. Halafu TBC wanapewa pongezi
 

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
82
Duh...kweli sikio la kufa halisikii dawa......Ivi watu bado mnatazama vipi vya TBC?Haina vipindi ni utumbo mtupu period.
 

Zinedine

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,188
694
Kwa nini wasiseme wenyewe SMZ?

mkuu, waliosema hivyo ni wenyewe SMZ, tena cha kufurahisha hata hao TBC wakati wanairipoti habari hiyo walikuwa wanaitoa as if wakijua kwamba wanakejeliwa duh
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
nina mashaka na ueledi wa msifiaji. hizo pongezi zimesaidia kupoza machungu ya wafiwa? badala ya kutangaza wamechukua hatua gani kuwaadabisha wahusika wao wanatoa pongezi,nlidhani angetangaza kuwafuta kazi baadhi ya watendaji wakuu serikalini waliohusika kwa uzembe, thats crap. nsije nkaandika mengi nkapigwa ban.
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
nakumbuka siku ya tukio siku nzima TBC1V walishinda wakipiga miziki ya kidunia ka tukio limetokea ulaya vile,frankly speaking ur manipulated
 

junior05

Senior Member
May 3, 2011
186
46
Serikali ya magamba kwa vituko,palikuwa hamna haja ya indirect speech,kama ni kweli SMZ wangedirect wenyewe taarifa hyo
 

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,676
33,256
Ajabu, hivi zile taarabu na ndombolo walizokuwa wakituonesha siku nzima zilikuwa ni kwa ajili ya kutufariji!! Natumaini akili za liyetoa pongezi na aliyepewa ziko sawa, ni za kinyambafu
 

Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
<font size="3">nakumbuka siku ya tukio siku nzima TBC1V walishinda wakipiga miziki ya kidunia ka tukio limetokea ulaya vile,frankly speaking ur manipulated</font>
<br />
<br />
tbc hawafai kabisa,siku ya jumamosi yote walikua wanapiga miziki yakila aina utazan taifa lina sherehe kumbe kuna msiba mzito,hata hapo jumapil walipoanza kutoa habari zahiyo meli iliyozama inaonekana walikemewa na viongozi wajuu wa serikali kwakuona tbc inazidi kutia aibu nakuzidisha hasira kwa wafiwa.
 

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,281
8,987
The greatest fear of the propagandist is not that the mwananchi would not believe his lies but that the mwananchi would not believe the truth.Kweli siku hiyo imefika , jamaa hawaminiki tena kwa jema au la shari.
 

Zinedine

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,188
694
TBC hihiii ninayoifahamu au kuna TBC nyingine Zanziba?

Hiihii TBC bana mabingwa wa kupiga taarab na ndombolo siku ya misiba kama ule wa Zanzibar, yani nji hii imejawa na wafu watupu kiasi kwamba tumaini la kujinasua kwenye ujuha tulionao halipo-Kweli SMZ iipongeze TBC kwa ajali hii?
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hatuwalaumu kwakuwa hatujui vigezo walivyotumia kuwapa pongezi.
Binafsi sioni sababu ya kuwapa pongezi.
 

Bongo Pix Blog

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
213
33
Mbuzi wa Bwna Heri na shamba ni la Bwana Heri. ndivyo inavyoonesha.

Unaipa TBC pongezi ya nini jamani au pongezi za porojo! Kama mtakumbuka wakati ajali imetoka usiku wa kuamkia Jumamosi.
TBC asubuhi ya Jumamosi saa moja wanasoma taarifa ya habari kwa chini ya TV yanapita maandishi madogo yanasomeka, kuna Meli inahofiwa imezama Unguja taarifa kamili tuwaletea baadae.
Wakati BBC, CNN, El Jazira, Press TV ya Iran, CCTV ya China, wametangaza hii ajali saa kumi na mbili asubuhi. Halafu TBC wanapewa pongezi
 

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,312
214
Mbuzi wa Bwna Heri na shamba ni la Bwana Heri. ndivyo inavyoonesha.
<br />
<br />
Binafsi nawapa pongezi channel 10 muniru zakaria alijitahidi sana kuwajuza watanzania mara kwa mara kile kilichokuwa kinaendelea juu ya ajali hiyo.Ule wao walioingiza siasa kusifia kisichosifika ,wajue watanzania wengi tuna access ya tv na hatukuona tbc wakifanya yale waliyofanya channel 10 ,hata KBC kenya waliipa uzito ajali hiyo na si TBC.
 

Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
Nakubaliana namtoa hoja alieipa sifa chanelten kwakwel walijitahid na walionesha uzalendo mkubwa ktk kipindi chamsiba mzito,hongera ch.ten hongera munir zakaria,tbc hovyo hovyo hovyo kabisa na sitaki hata kuingaliatena ktk maisha yangu,na sitaki kuamini kuwa eti kuna viongozi wa smz wameipongeza tbc kwa kuripot vizur msiba wa zenj,waipongeze kwalipi au kwakupiga taarab na ndombolo wakati wamsiba wakitaifa??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom