TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

wachangiaji wengi humu hawajui kabisa maana ya neno 'pekee'. Mtangazaji amesema kuwa habai iliyopewa uzito wa pekee na wala hksema habari ilyopewa uzito mkubwa She is a professional journalist. Asingeweza kusoma mafuriko wakati siyo mafuriko. Magazeti mengi yanaandika sensational news. Mafuriko,tsunami, kimbunga ni sensational. Mwandishi hawezi kurudia kusoma kichoandikwa na magazeti in a sensationa manner.

Tunachoongelea hapa ni fairness tu,wakati CCM ilipokuwa inampeleka Mgombea wake TBC1,walitangaza kwa haiba na ilikuwa inachukua muda sana hata zaidi ya dakika kumi hadi kumi na tano.Sasa tunajiuliza ndiyo sahihi?Kwanini azisome taarifa za CCM tu,hilo ndilo suala la msingi.Kama kusoma angeacha kabisa kusoma zote.

Mfano Gazeti la Uhuru ukurasa wake wa juu,liliandikwa with Bold ,maandishi makubwa NAPE:Chadema imeuzwa.Na akaisoma,sasa kuna tofauti gani na Mafuriko Mbeya?

Hapo ndipo panapokwaza.Muandishi hayuko professional mtetee lakini hali halisi ndiyo hiyo.Ukiamua kutosoma taarifa zenye MUHEMUKO usizisome zote,lakini hizi unazisoma sababu ni za chama tawala?Na wakati huu ni wakati wa UCHAGUZI,hivyo yaandikwayo ni part & parcel ya advertisement ya wagombea.
 
Unajua maana ya 'soko'kweli ?.Au unafikiri watu wanajiandikia tu basi!!!!.Sema ukweli mkuu wangu na utakuwa huru ,muogope hata unaemuabudu basi kidogo.Usisimame na kushupaza Shinto kumtetea mtu au kikundi cha watu kinachonyang'anya haki za watu.Tupaze sauti sote ,hivi hauoni hata athari zinazoweza kutokea kwa kubagua(Ubaguzi)?.

Leo hii yakitokea machafuko unafikiri kituo cha TBC kitakuwa salama kwa chuki wanazozitengeneza kwa wakati huu?

Unajua unaweza kupingana na kuupinga ukweli ,lakini hauwezi kupingana na matokeo yake asilani abadani.

NduguCiril,

Mimi nimezungumza ‘profesionally’. Kwamba hakuna kosa lolote alilofanya Yule mtangazajiwa TBC katika uchambuzi wake wa magazeti. Many newspapers kwa sasa inTanzania. Yanaandika in a sensational manner. And the reason is obvious: One, they want to sell their newspapers in acompetitive market in this country. Vichwa vya habari kama Mafuriko Mbeya, Tsunami, Kimbunga etc etc and you ca gon naming ni sensational headlines. Two, many newspapers and journalists have beenbought by elites (political and business elites) to serve their interests. Ukweli unapindishwa kwa kiwango kikubwa mno. Ni wale professional journalists au waliobobea katika journalism ndio penginewatajua ninachozungumza hapa. Mtangazaji wa TBC asingeweza kurudia kusoma kamailivyokuwa imeandikwa na magazeti in a sensational manner kwani naye itaonekanakuwa anaunga mkono sensational news. Kizuri walichofanya TBC ni kuonyesha kile kilichoandikwa namagazeti ili mtazamaji uone mwenyewe.Mtangazaji wa TBC amesema kuwa habari iliyopewa uzitowa pekee ni......Hakusema kuwa habari iliyopwa uzito mkubwa. Ila iliyopewa uzito mkubwa ameionyesha iliwewe mtazamaji uione. She was/is beingprofessional. Sasa basi ni bahati mbaya mno watanzania wengi hawajuiuchambuzi wa issues. Gazeti kuandikakuwa Mbeya mafuriko hakuna ukweli kabisa pale. Ukiwauliza hao waandishi ni mafuriko gani hayo? Hawawezi kukueleza zaidi ya kusema we want tosell our newspapers. Watanzania wengiwamezoea umbeya na majungu. Wanapenda kusikiavitu vya rahisi rahisi na vya uvumi. UkimwambiaMtanzania au watanzania kuwa kule Mburahati kuna mama amezaa mtoto mwenye vichwa 100 vilivyofanana na vya sungura, nakuthibitishiakuwa thousands of people will walk toMburahati kwenda ‘kushuhudia’. And, whenthey come back to their areas orresidential places many will swear to God by spreading the word or rumour kuwahuko Mburahati wameshuhudia kituko hicho.. Yaani unaweza kukumbuka wakati wa miaka ya nyuma ‘nyoka wa Buguruni’ aliyedaiwa kuwa na kichwa cha binadamu. In fact kwa wakati huu Tanzanians are being taken fora ride. Wanadanganywa na media in somany ways. And, unfortunately Tanzaniansdo love it. While it is true Lowassa anakusanya wafuasiwengi lakini hayo huwezi kuita mafuriko wala kimbunga, wala tsunami. Kwanini yawe mafuriko???!!!! Kwani wakaziwote wa Mbeya walikwenda kumuona huyo Lowassa? Yaani wilaya zote za Mbeya watu wake walikusanyika Jiji la Mbeya?. It is not true. Je, wakazi wote wa Jiji la Mbeya walikusanyika kwenye mkutano waLowassa? It is not true. Vyombo vya habari kwa wakati huu inabidi viwe professional by beingobjective and fair. Huwezi wewe kilawakati unaandika maovu tu ya kura za maoni ndani ya CCM wakati pengine irregularities za kura za maoni ndani ya CCM ni only 5%. Ukiangalia ITV utashangaa hivi TV station inataka kufanya nini kwaTanzania. Inakusanya maovu tu yaCCM kuhusu mchakato wa kura za maoni.Utaona ITV ikisema maoni ya wananchi yanasemaje lakini inawahoji wale tu wanaoikashifuCCM. Yaani upo wakati ITV huwezikutofautisha na Radio UHURU au gazeti la UHURU. Mimi vituo vya televisheni ambavyo angalau naviheshimu kwa kiwango Fulanini Star Tv, Mlimani TV na Channel Ten. Ingawani kweli Star Tv ina mwelekeo wa kuipendelea system ya nchi ikwemo CCM lakinini afadhali huwa iinajitahidi kujaribu ku-balance kwa kiwango Fulani.

Mkuu kwanza nnaomba ili tuende sawa jitahidi kuandika lugha ya taifa ili nikuelewe au kuelewa vema kile ulikuwa unamaanisha.

Pili ili twende sawa katika bandiko lako hili umesema mtangazaji asingesoma vile ilivyokuwa imeandikwa kwenye gazeti kwa maana ya kichwa cha habari ambacho kwako kinakupa ukakasi mkubwa(ni kama umedharau vile wale waandishi wa gazeti pamoja na mhariri wake).

nisaidie habari kuu katika magazeti zinapimwa vipi yani ?.Kwa sababu anaonekana anasoma habari iliyoandikwa chini kabisa ndogo hivi kwa ukubwa kuliko ile ya "Mafuriko Ukawa".

Swali,CCM baada ya kumpata mgombea wao walisema ni tingatinga habari hiyo ilisomwa au haikusomwa!?.

Kwa akili ya kawaida unaposikia mwandishi ameripoti 'Mafuriko Ukawa'hivi mawazo yako yanakupeleka wapi?.Ni kweli Ukawa wameingiliwa na mafuriko?.Akili inakutuma wapi yani..

Pamoja na kuelimisha uma uandishi wa habari kwa ujumla ni ajira ,wenye kumiliki vyombo vya habari lazima wawe wabunifu kuvutia umma kusoma habari zao.Hawawezi kukuletea habari kama wapo jeshini..

Bado yule mtangazaji anayo makosa kwa kukiuka miiko ya habari hata kama lilikuwa ni shinikizo...

Kumbuka pia haya magazeti yapo na yanatenda kazi zao kwa kuzingatia sheria .
 
TBC hii hii kioo tena ndoo yaleta unazi kama huyo mtanagazaji ccm si ameze jiwe?

au ndoo walivyofundishwa kampeni jamani kala mzingo?
 
Na TCRA ituambie kinachofanywa na gazeti la UHURU mali ya CCM ni sahihi kuupotosha UMMA???

Na kama hiyo ni ndogo kwanini hawamchukulii hatua Nape kwa maneno yake mengi yenye utata na ambayo mwisho wa siku yataweza kuleta MACHAFUKO hasa wakati huu wa UCHAGUZI?

Au watueleze kama na wao ni tawi dogo la CCM baada ya lile la NEC????
TCRA hawana ubavu wa kulipiga faini gazeti la uhuru au habari Leo, haya magezeti yanaongeza chuki baina ya watanzania kwa watanzania.
 
Mkuu kwanza nnaomba ili tuendesawa jitahidi kuandika lugha ya taifa ili nikuelewe au kuelewa vema kileulikuwa unamaanisha.

Pili ili twende sawa katika bandiko lako hili umesema mtangazaji asingesomavile ilivyokuwa imeandikwa kwenye gazeti kwa maana ya kichwa cha habari ambachokwako kinakupa ukakasi mkubwa(ni kama umedharau vile wale waandishi wa gazetipamoja na mhariri wake).

nisaidie habari kuu katika magazeti zinapimwa vipi yani ?.Kwa sababu anaonekanaanasoma habari iliyoandikwa chini kabisa ndogo hivi kwa ukubwa kuliko ile ya"Mafuriko Ukawa".

Swali,CCM baada ya kumpata mgombea wao walisema ni tingatinga habari hiyoilisomwa au haikusomwa!?.

Kwa akili ya kawaida unaposikia mwandishi ameripoti 'Mafuriko Ukawa'hivi mawazoyako yanakupeleka wapi?.Ni kweli Ukawa wameingiliwa na mafuriko?.Akiliinakutuma wapi yani..

Pamoja na kuelimisha uma uandishi wa habari kwa ujumla ni ajira ,wenye kumilikivyombo vya habari lazima wawe wabunifu kuvutia umma kusoma habari zao.Hawawezikukuletea habari kama wapo jeshini..

Bado yule mtangazaji anayo makosa kwa kukiuka miiko ya habari hata kamalilikuwa ni shinikizo...

Kumbuka pia haya magazeti yapo na yanatenda kazi zao kwa kuzingatia sheria .

Ndugu Ciril,

Kwanza nakushukuru kwa kutumia lugha ya kiungwana. Baadhi yetu huwa tunaogopa au kuhofu kutoamaoni yetu kwenye jamii forums kujiepusha na matusi unayovurumishiwa pale mtu unapotoa maoni yanayotofautiana na baadhi ya watu.Naomba radhi kwa kutumia au kuchanganya lugha ya kigeni katika maoniyangu. Nitajitahidi kutumia lugha yataifa. Yule mwandishi aliamua kuachakusoma habari kubwa makusudi kama nilivyokueleza kwa kuwa habari ile ilikuwa imetiwa chumvi kupitiliza hasa katikakichwa cha habari. Aliamua kusoma habariya chini ambayo ilikuwa imepewa uzito wa pekee. Uzito wa pekee katika uandishi wa habari ni kuwa habari hiyo inawekwakatika ukurasa wa kwanza au mwingine wowote na kwamba hata kama siyo habari kuulakini imewekwa kwa stahili fulani kuleta mvuto kwa msomaji. Habari hiyo inaweza kuwekwa katika ‘kisanduku'au maandishi yake yakawekwa kwa namna ambayo yanavuta hisia za msomaji.Yule mwandishi?mtangazaji wa TBC hajakiuka miiko ya uandishi.
Mtu kujiitaTingatinga mimi sioni kuwa ni tatizo. Mtu unaweza kujiita ‘Tyson' ‘Messi', ‘kibajaji' , ‘roketi' na kadhalikakujifafanua kuhusu unachoona kuwa unataka watu wakuelewe ummarufu wako. Watu hupenda kujiita au kujipambanua na majinayenye sifa nzuri ili kujiongezea sifa miongoni mwa jamii. Ukiona mtu anajiita ‘mimi ni hitler', mimi musollini au mimi ni iddi amin ujue lipo tatizo.

Lakini pamoja nakujiita Tingatinga ikiwa kuna gazeti litaandika ‘Tingatinga lafagia Mbeya" sasa hapo itakuwa ni kutia chumvi. Kituo cha televisheni kikitangaza kuwa ‘habarizilizotufikia sasa hivi ni kuwa polisi wamepiga marufuku maaandamano ya Lowassakwenda kuchukua fomu' wakati sio kwelina polisi wala hawajatoa tangazo wala tamko hilo kitendo hicho kitakuwa ni cha uchochezi.

Ikiwa gazeti kamalilivyofanya UHURU litaandika kuwa msafara wa LOWASSA wavamiwa na vibaka nawaporaji waliokuwa wakipora maduka wakati jambo hilo sio kweli sasa huko nikukiuka maadili . Ila kama ni kweli wapovibaka walijipenyeza kwenye msafara wa Lowassa sasa hilo ni suala jingine. Lakini kama ni kweli kulikuwa na vibakawawili tu waliopora simu katika watu kwa maelfu UHURU halikuwa na sababu yakutia chumvi kwenye stori yake. Mtummoja akiibiwa simu kwenye harusi haiwezekani kabisa kuandika au kutangaza kuwaharusi iligubikwa na matukio ya vibaka kupora simu kwa watu. Huko kutakuwa nikutia chumvi.

Mwandishiakiripoti kuwa ‘Mafuriko Mbeya' huko nikutia chumvi. Napata picha kuwamwandishi huyo anamfagilia Lowassa na UKAWA kwa kutia chumvi habari zake. Kwani pamoja na ukweli kuwa Lowassa anapatawafuasi wengi lakini huwezi kuita yale ni mafuriko. Ni kutia chumvi habari au Mwandishi na mhaririwake inawezekana wana ajenda yao.

Habari katikamagazeti zinapimwa kwa mengi. Lakinikubwa ni namna ukweli unavyoainishwabila kutia chumvi na kuainisha angalau pande zote zinazohusika katika habari.
Pamoja na ukwelikuwa wamiliki wa vyombo vya habari wanapaswa kuwa wabunifu lakini wanapaswa kuwa hivyo kwa kuzingatiaukweli bila kutia chumvi habari zao.

Magazeti ya habariza kila siku siyo ya udaku. Magazeti yakila siku yanapaswa kuwa makini. Ndiomaana utaona hakuna kituo cha televisheni kinachosoma au kutangaza magazeti yaudaku na ambayo naamini unayafahamu nasina haja ya kuyataja hapa.

Sasa basi wakatihuu wa kuelekea uchaguzi magazeti mengi yameanza kujitambulisha kuwa kama yaudaku kwa kuandika uzushi na utiaji mno chumvi kwenye habari.
Ni bahati mbayakuwa waandishi wengi wa Tanzania viwango vyao kitaaluma viko chini mno. Wako watangazaji wengi wa televisheni ambaohawajasomea uandishi wa habari. Wameajiriwa pengine kutokana na umahiri wasauti zao na kadhalika. Wako wachachewaliosomea uandishi wa habari lakini wala sio wote.
Taaluma ya habarinchini mwetu ina matatizo mengi mno. Mazingira yao ya kazi ni magumu na taaluma hii imeingiliwa na kiwango kikubwacha rushwa. Wengi mishahara yao ni ya chini na baadhi yaowanafanya kazi bila kulipwa hata miezi mitano. Ndio maana waandishi wengi ni ‘ombaomba' mitaani na maofisini. Wako tayari kuandika kwa kutia chumvi nakuuza utu wao kwa kupewa fedha.
Kama sheria kwavyombo vya habari ingetumika vyombo vingi vya habari vingefungiwa. Sheria kuhusiana na vyombo vya habari nchinimwetu ni kandamizi kwa kiwango kikubwa lakini serikali huwa inavumilia tu,vinginevyo vyombo vingi vingefungiwa.....

Mkuu kwanza nnaomba ili tuendesawa jitahidi kuandika lugha ya taifa ili nikuelewe au kuelewa vema kileulikuwa unamaanisha.

Pili ili twende sawa katika bandiko lako hili umesema mtangazaji asingesomavile ilivyokuwa imeandikwa kwenye gazeti kwa maana ya kichwa cha habari ambachokwako kinakupa ukakasi mkubwa(ni kama umedharau vile wale waandishi wa gazetipamoja na mhariri wake).

nisaidie habari kuu katika magazeti zinapimwa vipi yani ?.Kwa sababu anaonekanaanasoma habari iliyoandikwa chini kabisa ndogo hivi kwa ukubwa kuliko ile ya"Mafuriko Ukawa".

Swali,CCM baada ya kumpata mgombea wao walisema ni tingatinga habari hiyoilisomwa au haikusomwa!?.

Kwa akili ya kawaida unaposikia mwandishi ameripoti 'Mafuriko Ukawa'hivi mawazoyako yanakupeleka wapi?.Ni kweli Ukawa wameingiliwa na mafuriko?.Akiliinakutuma wapi yani..

Pamoja na kuelimisha uma uandishi wa habari kwa ujumla ni ajira ,wenye kumilikivyombo vya habari lazima wawe wabunifu kuvutia umma kusoma habari zao.Hawawezikukuletea habari kama wapo jeshini..

Bado yule mtangazaji anayo makosa kwa kukiuka miiko ya habari hata kamalilikuwa ni shinikizo...

Kumbuka pia haya magazeti yapo na yanatenda kazi zao kwa kuzingatia sheria .

Ndugu Ciril,

Kwanza nakushukuru kwa kutumia lugha ya kiungwana. Baadhi yetu huwa tunaogopa au kuhofu kutoamaoni yetu kwenye jamii forums kujiepusha na matusi unayovurumishiwa pale mtu unapotoa maoni yanayotofautiana na baadhi ya watu.Naomba radhi kwa kutumia au kuchanganya lugha ya kigeni katika maoniyangu. Nitajitahidi kutumia lugha yataifa. Yule mwandishi aliamua kuachakusoma habari kubwa makusudi kama nilivyokueleza kwa kuwa habari ile ilikuwa imetiwa chumvi kupitiliza hasa katikakichwa cha habari. Aliamua kusoma habariya chini ambayo ilikuwa imepewa uzito wa pekee. Uzito wa pekee katika uandishi wa habari ni kuwa habari hiyo inawekwakatika ukurasa wa kwanza au mwingine wowote na kwamba hata kama siyo habari kuulakini imewekwa kwa stahili fulani kuleta mvuto kwa msomaji. Habari hiyo inaweza kuwekwa katika ‘kisanduku’au maandishi yake yakawekwa kwa namna ambayo yanavuta hisia za msomaji.Yule mwandishi?mtangazaji wa TBC hajakiuka miiko ya uandishi.
Mtu kujiitaTingatinga mimi sioni kuwa ni tatizo. Mtu unaweza kujiita ‘Tyson’ ‘Messi’, ‘kibajaji’ , ‘roketi’ na kadhalikakujifafanua kuhusu unachoona kuwa unataka watu wakuelewe ummarufu wako. Watu hupenda kujiita au kujipambanua na majinayenye sifa nzuri ili kujiongezea sifa miongoni mwa jamii. Ukiona mtu anajiita ‘mimi ni hitler’, mimi musollini au mimi ni iddi amin ujue lipo tatizo.

Lakini pamoja nakujiita Tingatinga ikiwa kuna gazeti litaandika ‘Tingatinga lafagia Mbeya” sasa hapo itakuwa ni kutia chumvi. Kituo cha televisheni kikitangaza kuwa ‘habarizilizotufikia sasa hivi ni kuwa polisi wamepiga marufuku maaandamano ya Lowassakwenda kuchukua fomu’ wakati sio kwelina polisi wala hawajatoa tangazo wala tamko hilo kitendo hicho kitakuwa ni cha uchochezi.

Ikiwa gazeti kamalilivyofanya UHURU litaandika kuwa msafara wa LOWASSA wavamiwa na vibaka nawaporaji waliokuwa wakipora maduka wakati jambo hilo sio kweli sasa huko nikukiuka maadili . Ila kama ni kweli wapovibaka walijipenyeza kwenye msafara wa Lowassa sasa hilo ni suala jingine. Lakini kama ni kweli kulikuwa na vibakawawili tu waliopora simu katika watu kwa maelfu UHURU halikuwa na sababu yakutia chumvi kwenye stori yake. Mtummoja akiibiwa simu kwenye harusi haiwezekani kabisa kuandika au kutangaza kuwaharusi iligubikwa na matukio ya vibaka kupora simu kwa watu. Huko kutakuwa nikutia chumvi.

Mwandishiakiripoti kuwa ‘Mafuriko Mbeya’ huko nikutia chumvi. Napata picha kuwamwandishi huyo anamfagilia Lowassa na UKAWA kwa kutia chumvi habari zake. Kwani pamoja na ukweli kuwa Lowassa anapatawafuasi wengi lakini huwezi kuita yale ni mafuriko. Ni kutia chumvi habari au Mwandishi na mhaririwake inawezekana wana ajenda yao.

Habari katikamagazeti zinapimwa kwa mengi. Lakinikubwa ni namna ukweli unavyoainishwabila kutia chumvi na kuainisha angalau pande zote zinazohusika katika habari.
Pamoja na ukwelikuwa wamiliki wa vyombo vya habari wanapaswa kuwa wabunifu lakini wanapaswa kuwa hivyo kwa kuzingatiaukweli bila kutia chumvi habari zao.

Magazeti ya habariza kila siku siyo ya udaku. Magazeti yakila siku yanapaswa kuwa makini. Ndiomaana utaona hakuna kituo cha televisheni kinachosoma au kutangaza magazeti yaudaku na ambayo naamini unayafahamu nasina haja ya kuyataja hapa.

Sasa basi wakatihuu wa kuelekea uchaguzi magazeti mengi yameanza kujitambulisha kuwa kama yaudaku kwa kuandika uzushi na utiaji mno chumvi kwenye habari.
Ni bahati mbayakuwa waandishi wengi wa Tanzania viwango vyao kitaaluma viko chini mno. Wako watangazaji wengi wa televisheni ambaohawajasomea uandishi wa habari. Wameajiriwa pengine kutokana na umahiri wasauti zao na kadhalika. Wako wachachewaliosomea uandishi wa habari lakini wala sio wote.
Taaluma ya habarinchini mwetu ina matatizo mengi mno. Mazingira yao ya kazi ni magumu na taaluma hii imeingiliwa na kiwango kikubwacha rushwa. Wengi mishahara yao ni ya chini na baadhi yaowanafanya kazi bila kulipwa hata miezi mitano. Ndio maana waandishi wengi ni ‘ombaomba’ mitaani na maofisini. Wako tayari kuandika kwa kutia chumvi nakuuza utu wao kwa kupewa fedha.
Kama sheria kwavyombo vya habari ingetumika vyombo vingi vya habari vingefungiwa. Sheria kuhusiana na vyombo vya habari nchinimwetu ni kandamizi kwa kiwango kikubwa lakini serikali huwa inavumilia tu,vinginevyo vyombo vingi vingefungiwa.....

Mkuu unaushabiki uliopitiliza. Hakuna chumvi yoyote na wala haikuwa na madhara yoyote kwa umma. Hawa TBC wajipime mwenendo wao unalalamikiwa sana kwa Biasness!
Ukiiangalia vuzuri video clip unaona kabisa mtangazaji anahangaika kuruka headlines za magazeti kwa makusudi huku nafsi ikimsuta! Aibu kubwa!
 
TCRA hawana ubavu wa kulipiga faini gazeti la uhuru au habari Leo, haya magezeti yanaongeza chuki baina ya watanzania kwa watanzania.

Ok.Kinachoshangaza maneno ya visasi,chuki yanayoongelewa na Nape na JK hakuna mtu anauliza.Nimeshangaa leo kwenye gazeti la uhuru wameandika Lowassa awatishia Walemavu.Sijui muhariri wa habari hii amfunguliwa mashtaka atajibu nini...Duh.hii ni kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Ok tumeandika...
 
Duh kaaaaazi kweli kweli huyu dada mtangazaji kama naye anapitaga humu sijui anajisikiaje na upotoshaji anaoufanya bila aibu kabisa!!!
 
Kwa sasa TBC imejaa wanahabari vilaza,makada wa chama,wachumia tumbo,ajira za viti maalum na waoga wa changamoto za maisha kwani baada ya kuondoka Tido mambo yanayoendela TBC kwa muhandishi anaye ijua kazi yake hawezi kubaki.
 
Mkuu unaushabiki uliopitiliza. Hakuna chumvi yoyote na wala haikuwa na madhara yoyote kwa umma. Hawa TBC wajipime mwenendo wao unalalamikiwa sana kwa Biasness!
Ukiiangalia vuzuri video clip unaona kabisa mtangazaji anahangaika kuruka headlines za magazeti kwa makusudi huku nafsi ikimsuta! Aibu kubwa!

Mkuu, ukweli uko wazi sana. Wenye kukataa ni walewale magamba.

Watangazaji w amekua biased sana. Wale watangazaji wanalinda ajira zao kwa maagizo waliyopewa na chama dola.
Hata ukiwashtaki hutawashinda Kwani wao wameagizwa tu. Hawana cha kukataa. Ajira yenyewe ngumu usawa huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom