mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
TCRA ni taasisi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria ya EPOCA 2010, Kanuni za Utangazaji pamoja na masharti ya leseni za Utangazaji.
Upo utaratibu unaofuatwa katika kushughulikia ukiukwaji wa Kanuni au Masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kumtaka mwenye leseni kujibu tuhuma na kuitwa kwenye Kamati ya Maudhui.
Hatuwezi kutoa hukumu bila kumsikiliza mwenye leseni na shauri kufikishwa katika Kamati ya Maudhui.
Tunawasihi wananchi kuwa Na subira suala hili linafanyiwa kazi na taarifa kwa umma itatolewa juu ya maamuzi yatakayotolewa.
Asante
Mbona hukumu za vyombo binafsi zinakuwa na haraka sana au wao hawana haki ya kusikilizwa?na mnakuwa mnasikiliza nn wakati mpaka video zipo?