mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Ni kupitia TBC2. Wanadai wataonesha saa 3 asubuhi saa sita mchana, saa kumi na moja jioni na saa 4 usiku (recorded). Chanzo TBC
Naona hatimaye wamebana wee wameachia. Ila nina maswali kadhaa:
Je, TV binafsi zitaruhusiwa kurusha pia?
Je Je huo muda TBC wanarusha live watu watakuwa hawafanyi kazi? Kwa sababu walisema mwanzo lengo la kuzuia ni ili watu wafanye kazi!
Je, kwa nini wameamus kulificha bunge kwenye channel ya kulipia, yaani TBC2? Je kuangalia bunge likijadili mambo yetu wananchi ni luxury?
Je wale wasioweza kulipia hiyo channel hawana haki ya kuwasikia wawakilishi wao wakizungumzia matatizo yao bungeni?
Nina maswali mengi,
Hata hivyo niwapongeze wahusika kwa kukubali kwambs hapa walichemka! Naamini huu utakuwa mwanzo wa kuturudishia wananchi haki yetu ya kufuatilia kikamilifu yanayofanywa na wawakilishi wetu!