lipo live now....
Ni kweli mkuu, wako hewani na
kamati ya matumizi, bajeti ya mapato na matumizi wizara ya afya
inaendelea kama kawaida.
sauti haisikiki vizuri
Wanamficha waziri mkuu asiumbuke kwa ugaidi make nasikia kambi ya upinzani inatka maneno yote yaliyosemwa na mbunge wa ccm hasa mwigulu kuwa chadema ni chama cha kigaidi yafutwe kwenye harnsad za bunge, inaitajika kauli ya waziri mkuu na spika.
Kwani leo wizara gani inasoma bajeti?
Au mambo hayaendi vizuri wizara ya afya?
Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
Kawambwa hachomoki this time.Naona Bajeti ya Elimu imekaribia wanataka kumuokoa Kawambwa
Nilitegemea TBC1 ikiwa na shida, wangetumia TBC2 kuleta matangazo.kulikoni?