Ni kwanini Mawaziri wajiuzulu wakati Bosi wao yupo?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Pale Bungeni inazungukwa Mbuyu. Anayepaswa kuwajibishwa si mwingine zaidi ya Rais Samia.

Yeye ndio kawateua wakina Mwigulu na hadi sasa yeye anaona wanafaaa pamoja na kelele zote. So sioni kosa la Mwigulu wala Wakurugenzi wala yoyote yule zaidi ya Bosi wao.

Bosi anawalinda vilivyo kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe, sasa wakina Mpina wanapo piga kelele ilihali Mama yeye kawakumbatia ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.

Ufisadi huu ni syndicate ndefu sana, kuna chain ya kutisha. Hakuna Waziri wala Mkurugenzi yoyote anayeweza piga mpunga mrefu bila Bosi wao kujua.

Mama anajua upigaji wote na anawalinda kwa sababu anazo zijua yeye.

Ni ujinga na upumbavu kumulaumu Mwigulu na kumuacha Bosi wake.
 
Naweza kusema tangu mwaka 2023 umeanza hii ndio hoja ya kwanza kukosa muunganiko wa fikra na logic.

Nataka logic ya suala hili, kama Waziri ni Waziri na Rais ni Rais Kwa nini unataka kufanya Rais ni Waziri?

Wakina Karamagi, Dialo na Lowasssa walijiuzulu Kwa uwaziri wao, Kwa nini Leo Rais awajibike kwa makosa ya Waziri?
 
Back
Top Bottom