..TV ya kifedhuli sana hii....inaendeshwa pia kifedhuli kweli kweli....Hamna hapa cha sababu za kiufundi wala nini....hawa mafedhuli wameamua kuondoka hewani kutoonyesha bunge ili kukidhi azma yao ya siku nyingi....wanawanyima watanzani walio wengi kuona uchizi wa wabunge wao bungeni....hamna sababu nyingine zaidi ya hii.....Ni nchi gani dunia hii ya leo watu hawaonyeshwi vikao vya bunge lao kupitia National media?????....hata kule North Korea kwenye udikteta wanaonyeshwa TV ya taifa vikao vya bunge lao.....Kuona bunge ni haki ya raia wa TZ....ni haki ya raia kupata habari...tena habari kuhusu yanayofanywa na wabunge waliowachagua...hawa mafedhuli wanakiuka haki za msingi za mtanzania mchana kweupe...haingii akilini kabisa hii......Lazima tuipigie kelele.....Wanashindwa kuonyesha vikao vya bunge wakati wanatumia kodi zetu kujiendesha!!huu kama si wizi ni nini???....haitakubalika hii.....Nasikiliza radio hapa wanaonyesha vipindi vya kipumbavupumbavu tu...wanakula kodi zetu hawa mafedhuli.......Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
hili lingefanyika tungepataje msamiati wa Serukamba na Kinana baridiiiInasikitisha sana.serikali ya ccm kwa sasa imeshikwa pabaya sana.wanatekeleza lile ofisi ya bunge ilitamka kuwa inataka kuhariri matangazo ya bunge kabla ya kuletwa kwa wananchi
Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
acha kupotosha mkuu. Kwani hata kama tbc wasipokuwa hewani itazuia wabunge kumuuliza maswali waziri mkuu? Kama hiyo ndiyo sababu, mbona muda wa maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu umeisha na bado hakuna matangazo?
..tv ya kifedhuli sana hii....inaendeshwa pia kifedhuli kweli kweli....hamna hapa cha sababu za kiufundi wala nini....hawa mafedhuli wameamua kuondoka hewani kutoonyesha bunge ili kukidhi azma yao ya siku nyingi....wanawanyima watanzani walio wengi kuona uchizi wa wabunge wao bungeni....hamna sababu nyingine zaidi ya hii.....ni nchi gani dunia hii ya leo watu hawaonyeshwi vikao vya bunge lao kupitia national media?????....hata kule north korea kwenye udikteta wanaonyeshwa tv ya taifa vikao vya bunge lao.....kuona bunge ni haki ya raia wa tz....ni haki ya raia kupata habari...tena habari kuhusu yanayofanywa na wabunge waliowachagua...hawa mafedhuli wanakiuka haki za msingi za mtanzania mchana kweupe...haingii akilini kabisa hii......lazima tuipigie kelele.....wanashindwa kuonyesha vikao vya bunge wakati wanatumia kodi zetu kujiendesha!!huu kama si wizi ni nini???....haitakubalika hii.....nasikiliza radio hapa wanaonyesha vipindi vya kipumbavupumbavu tu...wanakula kodi zetu hawa mafedhuli.......
Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
Stupid... nenda kachukue kwenye m-pesa