TBC wasitisha matangazo LIVE bungeni

Amna bana ni kwamba tumeishiwa na tepu tumeagiza dar zikija tutaendelea kuwahabarisha yanayojiri bungeni

hii ndo TBC ya ukweli na uhakika...??????????????
 
Sioni umuhimu wa TBC 2

Nashauri vipindi vyote vya TBC 2 vifutwe na iwe chanel ya kunesha MATUKIO YA KIHISTORIA mpaka HAPA TULIPO. Hi ni pamoja na

1 ) Vikao vya bunge kunzia bunge lakwanza
2) Hotuba mbalimbali za viongozi wastafu mfano marais, mawazir
3) Mambo ya mungano
4) Wapewe vipindi vya uchambuzi wa hali ya taifa kichumi, kisiasa na jamii kwa ujumla wake mf kipindi cha TBC 1.
5) Lakini sio muhimu watuoneshe mfumo wa vyama vingi ulipoanza na. Chaguzi zilizo pita.



Ni maoni yang.
 
sasa kama kituo hiki koinapewa ruzuku na hakiwezi ku fix tatizo basi sioni haja ya pesa za walipa kodi kuendelea kupotea kiasi hiki! hakuna umuhimu wa kuwa na television ya taifa kama tuna kosa mambo ya msingi kama haya!
 
Wanamficha waziri mkuu asiumbuke kwa ugaidi make nasikia kambi ya upinzani inatka maneno yote yaliyosemwa na mbunge wa ccm hasa mwigulu kuwa chadema ni chama cha kigaidi yafutwe kwenye harnsad za bunge, inaitajika kauli ya waziri mkuu na spika.

Hotuba ya kambi ya upinzaniv wizara ya mambo ya ndani haijarushwa kisa MWENGE kule pemba tutakoma nchi hii; ee Mungu naomba uangamize wanaotutesa na kutunyima haki yetu
 
Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.

attachment.php

Walikwepa kuonesha maswali ya papo kwa papo ya Waziri Mkuu asubuhi, coz jioni walionesha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom