CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
j.makamba alivyosema kuhusu tv 5 hesabu yangu ilikuwa ni pamoja na tbc,star tv,clouds lakini now nimebakiwa na star tv so labda ni tv stations za kawaida.
tatizo ccm wanapanic sana mkuu. Mbona wakishinda kihalali haina shida.
Hawajiamini kabisa