TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

Nimeshangazwa hata na Clouds nao wamepiga U-Turn ya ajabu kuanzia juzi! Sasa hivi wanashadadia Lowassa! Nahisi wameujua ukweli kwamba jamaa ndo Rais wameanza kunywea!
 
Channel ten nao ni ukawa,star tv wanaonyesha ccm sijui hizo channel tano yanatokea wapi?UKAWA CHANNEL 4 CCM 1 hadi sasa.
 
Hii ni gia ya kuomba msamaha TBC, wanajua rais ni Lowassa
 
Nadhani wametambua kwamba hakuna jinsi ingine tena ya kukwepa kumkaribisha Rais Lowassa.
 
Hahahahaaaa.... Tbccm na claudccm wameona kuwa kesho lowasa ndo raisi wameona bora wajikoshe leo.... Walikuwa hawasomi hata magazeti yaliyoandikwa lowasa sembuse kumrusha live? Toroka uje hiyo... Hahahaaa
 
Hapo lazima afukuzwe kazi mtu.kuunganisha mkutano wa UKAWA ni dhambi kubwa kwa tbcccm.
 
Heee!! Hiki ni nini hiki nikionacho!!...au...labda..photoshop...au ipo hacked!! Nini hicho..aaagh bana eeh mimi sijui bada!!
 
Back
Top Bottom