Tbc taifa Wameanza kuchamgamka

Tbc taifa Wameanza kuchamgamka

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,676
Reaction score
18,577
Leo baad ya habari ya saa mbili kamili kuisha na kisha kufata ki pindi cha hotuba wa baba wa taifa kisha ikafika saa tatu kamili kuanza kwa junguu kuu basi wakaweka kibagizo cha nukuu ya mwalimu wa Nyerere akikemee swala la viongozi wala rushwa

Nanukuu kidogo tu
"kiongozi mla rushwa na mpenda rushwa hafai kuteuliwa kuwa kiongozi hafai hata kidgo,

Wenda mtu fulani akaliwa kichwa vibaya sna mm niko hapa Dodoma naona kabisa dalili ya mtu kuliwa kichwa mapema sna na wajumbe hapo kesho watamkataa wasi wasi hata amini kitakacho tokeaa

Kila siku akili inanimbiaa mtu huyu hawezi kuwa kiongoz tena hata alazimishe vipi
 
Let's wait and see what will transpires without spooking anyone.
 
siku zote wamekua vinara wa habari za ukweli na uhakika

chadema wanapaswa kujifunza sana kupitia TBC
 
Back
Top Bottom