Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Kipindi kingine kizuri TBC NI AKILI CHA WATOTO WADOGO !!! vingine bado sana inabidi wakaze misuriMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama tbc, toka kipindi cha kina juma nkamia,swedi mwinyi,ahmed jongo,eziekel malongo mpaka sasa kipindi cha kina jesse john,enock bwigane na chacha maginga hakika tbc wameonyesha ukomavu wa hali ya juu...
Bila kusahau mbwembwe za mwl kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio
Kwako jesse
DuhKwahiyo unataka niende Taifa na redio?
Kenge we
Kweli hata radio ni kweny mpira tuHongera TBC radio,Tv majanga tu
Haha mzee yule anamaneno balaaKashasha kwa mbwembwe.
Wapo juuTBC kwa Hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu wapi huu.
Kwako nkowosiA man in the space a ball in the space kwako jesse john
Kenge lazima umjue kenge mwenzioKwahiyo unataka niende Taifa na redio?
Kenge we