TBC ni wanafiki sana bora ife milele

TBC ni wanafiki sana bora ife milele

umesema mkuu envir....l
 
Jamani tusiwalaumu sana,watafanyaje na hio ni amri?wanachunga unga wao
 
kila mara naona malalamiko dhidi ya tbc1,nadhani mna muda wa kuitazama thats y,me ckuiz hata wakipiga nyimbo siangalii asee,wanatetea tumbo wenzenu mnadhani watakula wapi sasa,2015 uache kulalamika,utumie kura yako vizuri
 
eehh??wanachadema wanahasira hao,halafu wana ccm hawapo kwani?maana tangu jana usiku sijaona post zao...poleni ccm na hongereni chadema.
 
Back
Top Bottom