Kwa mara ya pili leo naona shida hiyo...ikifikia kusoma habari za cdm, kunatokea scrstches , na mwishowe wanakata kabisa...halafu worse msomaji hata radhi hajaomba.
Sielewi huenda hata magazeti ya kesho watayamwagia bleaching agent.
Preta,hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....
hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....
[/COLOR]]Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!
Kweli Kabisa, aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea!hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....
Habari zote za kichochezi huwa zinatolewa namna hiyo ili zisieleweke! Chadema si waache uchochezi.Kilichowapeleka kufanya covarage nini?, pia kwann waionshe si wangeipotezea kabisa.Hapo kwenye red taarifa imetoka ila kimazabe