TBC mwogopeni Mungu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani TBC duh yani kweli mnachakachua habari za Za wapinzani makusudi!Jana niliona Wametoa habari za slaa lakini wameichakachua kwakukwamisha CD makusudi kwakisingizio mitambo!!kwa maana hiyo kilichokuwa kikisemwa hakikusikika kabisa lakini TBC wajue ile ni pesa ya walipa kodi hata Slaa inamhusu mojakwamoja!!Badlikeni!
 
Kazi nzuri. Bila ya hawa watu kuwamulika wataendelea kutuchezea chezea kama watoto.
 
Kama mungu mwenyewe ndio huyo wa upande mmja hakuna haja ya kumuogopa kwani hana nguvu,ila kama mungu ni wa wote inabidi hata nyie wana upande fulani mumuogope!
 
Wengine ni Chanel Ten ambao Habari za Kikwete zilikuwa za kwanza katika habari za kitaifa na za Lipumba zilikua za pili kutoka mwisho katika habari za kitaifa...hiyo ni jana tu, siku nyingi ndio hata kuonyeshwa huwa hazionyeshwi
 
.... Bora wamalizie hivyo hivyo na uchakachuaji. Itakuja julikana 31/10. Itakuwa fundisho moja kwa moja kuwa chombo cha umma sio cha chama. T.Mhando mmakamba huyo!!
 
Mhh hapana sidhani kama ilikuwa ni lengo la kumhujumu Dr Slaa, kwani baada ya habari za Dr Slaa kukwama, zilifuatia za JK, ambazo nazo zilikwama, hadi ikabidi kwanza warekebishe na wakazirudia habari zote ya Dr Slaa , JK na Prof Lipumba na zote zikatoka bila tatizo. Jamani tuwe wakweli kiasi fulani.
 
Nikweli hata mimi niliona pia za kikwete zilisumbua, Nadhani ni kweli wanamitambo mibovu!
 
tatizo nililo liona ni kwamba wanachagua ni maneno gani aliyo ongea wa ccm yenye mvuto ndio wanayo yaelezea/kuyatoa wakati kwa slaa, watatoa sehemu ya hotuba yake isiyo na pointi za kuwaelemisha wapiga kura
 
Tido mwaka huu amekwama, hata ile midahalo alitaka kuwasaidia CCM lakini bahati mbaya akakuta watu wenyewe sikio la kufa hawajui kujenga hoja za mchana kweupe.
 
Kwa jana, kama kuna mgombea atalalamika kuhujumiwa basi ni prof . Lipumba kwani walionyesha msafara wake tu mpaka hospitalini na malalamiko ya mpiganaji wa vita vya dunia. Lkn alipo anza kunadi sera zake tu mitambo ilianza nongwa.
Kwa jk sikuona tatitizo lolote, aliselebuka, akahutubia na alisikika bila shida. Na hata dr slaa pia alisikika.
 
WEEEEE kumbe we ndo hujui Prof LIpumba ndo kampeni zake ZA KWENDA MSIBANI, M/MKOA NA KWENYE FAMILIA ZA WATU
 
Back
Top Bottom