Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Siwezi kuitazama tbc
TBC walikuwa wanamsifia mpaka na uongo, lyoba akawasimamisha baadhi yao, akaja magufuli akawasamehe, wakaanza tena kusifia, sasa siku hizi watu wenye akili tunasikiliza magazeti ya asubuhi tu, miradi yote ilianzishwa na watangulizi wake ila wanavyomsifia aisee imezidi kipimo cha kawaida