Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Huwa nakaa najiuliza, hivi tulitegemea tuchague Rais ili afanye nini? Kwanini anapotimiza majukumu yake hivi sasa imekuwa kama vile ni msaada mkubwa sana kwa nchi yetu.
TBC kutwa nzima ni vipind vya kumtukuza Magufuli. Muda wote mnarudiarudia tu vimiradi alivyofanya. Kwani waliomtangulia hawakufanya miradi mizuri na mikubwa kwa taifa? Je TBC haikuwepo?
Mi binafsi nakereka hata kwangu siwezi weka TBC nikaangalia hata dakika 5. Nikikuta labda bar au sehem yoyote wanaangalia TBC huwa natamani kuondoka muda huo huo.
Ndyo maana Magufuli anaona bora atizame shilawadu.
Hii TV ni ya TAIFA au ya Magufuli?