bigboi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 1,524
- 4,760
Hivi hata Wewe mpaka hivi sasa humtukuzi Baba yako ambaye amesababisha uwepo hapa Duniani huku akiwa amekupa Huduma zako zote muhimu na Wewe ukiwa ni Tegemezi Kwake? Kuwalaumu TBC ni Kuwaonea kwani ' Logically ' tu huyo Mheshimiwa Kikatiba uliyemtaja hapo ndiyo Mlipaji wao Mkuu wa Mishahara na moja ya ' Policy ' ya ' State Owned Television ' ni Kuitetea, Kuilinda na Kueneza ' Propaganda ' za Serikali husika ambayo pia ni ya Chama husika. Kwa kukusaidia tu ni kwamba hata Siku ikitokea Rais wa nchi hii akawa unayempenda Wewe ( kutoka Upinzani ) basi watafanya haya haya unayoyaona wanayafanya kwa huyo Mheshimiwa Kikatiba ambaye unaonekana unamchukia kuliko maelezo kwa sababu unazozijua Wewe Kiongozi.
USHAWAHI KUKAA HATA LISAA LIMOJA UKAANGALIA BBC AU SABC YA SOUTH AFRICA HATUKATAI KUSIFIA ILA TBC NI TOO MUCH