Nilipokuwa darasani, mhadhiri wangu mmoja alisema, "Penda kusikia na kuelewa kile usichokiamini wala kukipenda ili uwe na sababu za kutosha za uamuzi wako huo!" Badala ya kukata matangazo TBCI lazima wafahamu kuwa sisi wananchi tunataka kusikia hoja za pande zote ili tuwe na sababu za kutosha za maamuzi yetu , hata ikibidi kuyabadilisha kulinganisha na hoja!