TBC mna bifu gani na CHADEMA?

Wasoma magazeti asubuhi ndo kabisa sijui hawaoni headlines za muhimu kwan wanarusha sana habari za Chadema,ovyo kweli!
 

Hii ni sawa na kuuliza CCM ina bifu gani na CHADEMA?
 
Ndo maana mapinduzi mengi yanapotokea katika nchi yanaanzia kwenye media. Hawa TBC1 wanatumika kama chanzo cha propaganda za CCM na siku hii nchi ikichukuliwa mabadiliko yatapaswa kuanzia hapo!!!!!!!
 
Personal nashangaa watu wa wanaoangalia TBC1 kwangu marufuku kama mikanda ya X. Ni kinyaa wanasoma habari huku unasikia background wakizungumza kuna kitu hapo?
 
Mie naichukia C.C.M na T.B.C kama nichukiavyo mbu,inzi na sigara.nlishawafahamu toka mwazo.hizo ndo zao
 

radhia you are very very wrong. TBC wanatumia kodi za wananchi. hivyo wanatakiwa kutopendelea au kunyanyapaa baadhi ya vyama. sioni mantiki yoyote
 
Hio ni tv ya chama, kwa hio usishangae, we km unataka upate vitu vizuri angalia itv, mi sikuhz nimeipotezea kabisaaaaa.
 
Nimeshatembea sana na kuangalia TV chanel nyingi! Lakini sijawahi ona kituo cha TV kinaonyesha matangazo ya vifo! Mtu alifariki miaka ya 70 halafu unaweka picha yake kwenye TV???? yaani nimeamini hata wafanyabiashara wamesusa kupeleka matangazo yao pale TBC 1:A S 13:
 
Hii ni hatua ya amani ya kuonyesha kupinga njama mbovu za serikali za kuendelea kukandamiza wananchi. TBC ni chombo cha umma kinachotumia fedha za walipa kodi bila kujali ni wanachama wa chama gani. Kama ilivyo kwa vyombo vingine vya habari kama mahakama na polisi, serikali imeendelea kwa muda mrefu kuitumia TBC kukandamiza wasioishabikia CCM

Najua kuwa wanapata ruzuku yao kutoka kwenye kodi zetu hivyo hawalaji hata kama hatuiangalia TV au kusikiliza redio zao. Hata hivyo mafisadi hawa wameendelea kujikusanyia fedha nyingi za kifisadi kwa kulipisha matangazo mbalimbali katika vituo vyao. Natoa wito kwa mtu yeyote ambaye sio mshabiki wa CCM, asitazame wala kupeleka tangazo likatangazwe CCM.

Mbinu ya kususia ushirika wa namna yeyote kwa mafisadi imekuwa ikitumika katika nchi nyingi na sehemu nyingi imesaidia sana katika kuwaadhibu mafisadi.
 

Mbona husomeki? sababu hasa ya msingi kufanya hivyo nini?
 

Acha kutumika kijana , na unatumika vibaya sana kiasi cha kwamba unakosa hata thamani ya utu. Ungesusia wwna familia yako ingekuwa poa zaidi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…