TBC kutokuwa super brand ni uonevu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,470
96,019
Wana bodi,

Shirika la utangazaji Tanzania TBC kutochaguliwa kuwa ni super brand ni uonevu mkubwa sana na hii ni mbinu ya vyama vya upinzani hasa CHADEMA.
 
Huo Upinzani Unahusikaje Na Kuwa Super Brand Hiyo Tbc.
Kubwa Kuliko Zote Nadhani Hiyo Tbc Ijitafakari Ije Na Habari Nzuri Vpindi Vizuri
Nina Hakika Itakuwa Superior Siyo Kuhaha Na Upinzani
 
tbc haina hata hadhi ya kuwa kituo cha tv au hata kuitwa kitv seuze kuwa super brand?
hivi tbc nacho ni kutuo?
 
TBC ikipewa hadhi ya kuwa super Brand itakua Uonevu Kwa TV zenye Hadhi Hizo kwani TBC Haina Hadhi ya Kuwa Super.....
 
Huo Upinzani Unahusikaje Na Kuwa Super Brand Hiyo Tbc.
Kubwa Kuliko Zote Nadhani Hiyo Tbc Ijitafakari Ije Na Habari Nzuri Vpindi Vizuri
Nina Hakika Itakuwa Superior Siyo Kuhaha Na Upinzani
Nafikiri kuna mkono wa ukawa hapo
 
tbc haina hata hadhi ya kuwa kituo cha tv au hata kuitwa kitv seuze kuwa super brand?
hivi tbc nacho ni kutuo?
Mkuu hicho ndio kituo cha TV kinachotumbua kodi za walalahoi wa tanzania
 
Tufafanulie Siye Tusiojue Tuujue Ukweli Kuhusu Upinzani Inavyoizuia Tbc Kuwa Super Brand Maana Hili Jambo Gumu Sana
Radio Iliyokuwepo Tangu Mkoloni Yenye Coverage Nchi Nzima Hali Yake Hoi Vile Kwenye Vipindi
 
AFCON inaisha hakuna hata kamechi hata fainali,ligi pendwa epl hata mechi ndogondogo wameshindwa kuonesha hata tv1 inawashinda?,vpl nyumbani holaa,bunge eti hawana hela...picha mbovu...studio setting mf ile ya habari aibu...mavazi na muonekano wa watangazaji yaani kama mwaka 47...uipe hadhi ya superbrand hiyo? Come on tuwe serious tbc bure kabisa
 
Utaweza ipamaje TBC wakati hau/muiangalii. Mtuulize ssisi waday wa Tv zote tuwaeleze TBC inavyokua!
 
Wana bodi shirika la utangazaji Tanzania TBC kutochaguliwa kuwa ni super Brand ni uonevu mkubwa sana na hii ni mbinu ya vyama vya upinzani hasa CHADEMA.


siku ya uchaguzi watu wanatowa maoni wao wanaonesha taarab
 
Back
Top Bottom