Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,100
- 1,271
Siku za taarab wanaongelea uchaguzi uliopita na walivyopita kwa kishindo mikoa ambayo haina upinzani.
Sasa nazani wameelewa waliwakosea watanzania watu hawawaangalii tena