TBC kutokuwa super brand ni uonevu

TBC kutokuwa super brand ni uonevu

Tbc hawafai kabisa kua super brand hata ck1 coz kwanza vipindi vyao vyote havina maana wapo busy kuisifia serikali2 na wapo ki ccm zaid
 
Utaweza ipamaje TBC wakati hau/muiangalii. Mtuulize ssisi waday wa Tv zote tuwaeleze TBC inavyokua!
kwa nyie wapenda taarabu na vitu hafifu inawafaa endeleeni kuitazama
 
Umeshasikia mwenye nchi anaiongelea? Hata ye hutazama mawingu na nyota
 
TBC haina Hadhi ya kuwa super brand wajipange sana
 
Wana bodi,

Shirika la utangazaji Tanzania TBC kutochaguliwa kuwa ni super brand ni uonevu mkubwa sana na hii ni mbinu ya vyama vya upinzani hasa CHADEMA.
Umekurupuka wewe
 
TV yenyewe ina poor sound, utadhani mama lishe anakaanga vitunguu aunge mboga.
 
Back
Top Bottom