TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
Taarifa ya habari saa mbili,

Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera, vifaa vya kuchanganya matangazo hawana na kwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji

My Take:
Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia
 
TBC imekosa mshiko. Ni bora waifunge mapema kabla Aljazeera haijaanza kurusha matangazo.
 
Du afadhali japokuwa kuna rafiki yangu anafanya kazi ila wanafanya kazi kwa hofu wasijefukuzwa kazi ndiyo maana hata magazeti utakuja kichwa tofauti na yale anayoyasoma.
 
Taarifa ya habari saa Nbili,Mkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa,akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera,vifaa vya kuchanganya matangazo hawana nakwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji

My Take.Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia

Siungi mkono TBC ikifungwa coz nahurumia wafanyakazi na familia zao zitazoaffectika kwa redundacy!!!
 
Sasa hizi chaguzi nyingine ndogo zinazofata watapigia wapi propaganda. Lazima watatafuta kodi zetu toka vipaumbele vingine vya mihimu na kuzitupia kwenye hili jalala la TBC.
 
Taarifa ya habari saa Nbili,Mkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa,akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera,vifaa vya kuchanganya matangazo hawana nakwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji

My Take.Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia

eeh mungu saidia.
Saidia na tanesco pia ishindwe kwan inadaiwa deni la 477 bil na wanapewa mkopo wa 408 bil
eeh mungu saidia
 
Back
Top Bottom