Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,082
- 747
Huyu Muro wamembeba haraka haraka na kumpandisha kizimbani lakini mafisadi kama Mzee wa vijisenti na Iddissa Rashid walionufaika na utapeli wa ununuzi wa rada na akina Jeetu, Manji, Subhash, Rostam walioifisadi nchi yetu kwa namna moja au nyingine bado wanapeta uraiani! Kweli sheria za Tanzania zimeoza kabisa.
Eheee hebu sema kwa sauti kubwa bana maana hili nalo neno ehee!!
Jamaa hawafai. Yaani wamesubiri Ijumaa, ili alale angalau siku 3 ndipo dhamana yake ianze kuzungumzwa.
My God !!! Sasa naamin kuwa hii kesi ni Movie ya polisi,Huyu Edmund Kapama ni Polisi informer,kwa maana hiyo amewekwa kama ni mmoja wa wachezaji kwenye hii movie ili wamkomoe kijana JM.
This is pure mafian,Shame on our policemen
Yaani bht we acha tu nilivyolivalia njuga hadi nione mwisho wake lolmpaka hii kesi iishe teknikalitiz zote za sheria utakuwa umekuwa mtaalamu na tutamuomba jaji ramadhani akuapishe uwe wakili wa kujitegemea wallah!!!
My God !!! Sasa naamin kuwa hii kesi ni Movie ya polisi,Huyu Edmund Kapama ni Polisi informer,kwa maana hiyo amewekwa kama ni mmoja wa wachezaji kwenye hii movie ili wamkomoe kijana JM.
This is pure mafian,Shame on our policemen
Kama usemayo ni kweli basi tupo ukurasa mmoja kuwa jamaa huenda alitumwa na polisi amfuate Jerry ampatie issue kuwa kuna kazi yaani jamaa ana miliki mali kifisadi na kumvuta Jerry kuwapeleka akishirikiana na Wage sehemu walizo kuwa wametega CCTV zao ili wapate picha za kumyamazisha. This case is VOID AB INITIO
Hivi jamani simu number si zimekuwa registered? Hebu Jerry pamoja na kampuni ya simu yake watoe ushirikiano- zitolewe particulars za simu iliyomtaka Jerry kufika kwenye eneo la tukio kwa madai ya uwongo ya kuwepo na dili la kulitoa kwenye vyombo vya habari.
1. Ikipatikana ni nani basi tutajua muhusika kama alikuwa bw. Mawenge (Wage) then tutajumlisha moja na moja
2. Isipopatikana kwa maana ya kuwa ikionyesha kuwa haijaregistiwa tutajua lilikuwa changa la macho
Kwani nini lengo la kuregister namba za simu?
Mkuu kweli kazi ipo pamoja na video bado unahitaji source kweli hutaki masikhara
Yaani bht we acha tu nilivyolivalia njuga hadi nione mwisho wake lol
Ni kweli usemayo Shishye but kama asipopatwa na hayo uliyosema basi ajiangalie watambambikizia kesi muda si mrefu -baada ya kuisuka vizuri ili wapate kujigamba vifua m,bele kuwa 'si tuliwaambia, kijana si msafi kihiiivyo' ili wajisafishe na waoTulikuwa tunawajua polisi informally kuwa ndio viongozi wa mambo yote machafu hapa nchini kama kubambikia kesi, ujambazi, mauaji, uonevu, ukandamizaji na unyimaji wa haki za binadamu za kila aina. Kwa hili la Jerry wameamua kutangazia umma rasmi bila kificho. Wasiwasi wangu kwa Jerry ni zaidi kwamba hata asipofungwa, yuko hatarini zaidi kupatwa na baya la kuhatarisha maisha yake; kama sio ajali, kuvamiwa na majambazi, kudhaniwa jambazi na kupigwa risasi au kitu kama hicho.
Wananikumbusha Adam Mwaibabile mie hawa!!Tusubiri wataalam wa vifungu vya sheria watoe tofasili ya tuhuma dhidi yake kwa kuangalia sheria zinazoendana na makosa yanayodaiwa kuyafanya! Kizuri ni kwamba Serikali imeingilia kati na kuagiza kesi iharakishwe ili kutuondolea maswali wananchi!
Good analyis.Kumbe Mwanajamiione ni Hakimu au mwalimu wa mediations?