You kidding, nilidhani kweli unajua. you made me laugh aiseeMheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................
Ah kumbe naota mchana.!!
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa

Dada kwa jinsi mashtaka yalivyokuwa yanatengenezewa hoja, mara rushwa, mara bastola mara pingu ni wazi huko mahakamani itakuwa ni kituko tu. We subiria uoneYou kidding, nilidhani kweli unajua. you made me laugh aisee
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................
Ah kumbe naota mchana.!!
Jamaa hawafai. Yaani wamesubiri Ijumaa, ili alale angalau siku 3 ndipo dhamana yake ianze kuzungumzwa.
...Na wewe utatafuta pingu zako mkuu nini??Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................
Ah kumbe naota mchana.!!
===lol, wewe!!! Ila hayo maswali ni ya msingi sana hakimu lazima ayaulize na ndipo Kova na wenzie watakavyozidi kupata aibu. Let's wait.
Mheshimiwa Hakimu: Ngudu Mawenge ukiwa kama shahidi wa kesi hii je unasema kuwa mshitakiwa alikulazimisha umpatie kiasi cha pesa
Mawenge: Ndiyo Mheshimiwa
Hakimu: Je mshitakiwa alitaka kiasi gani? na alijitambulisha kama nani?
Mawenge: Milioni 10 na alisema yeye ni afisa wa Takukuru
Hakimu: je rushwa hiyo ilitakiwa kwa ajili ya nini? Kwa sababu inafahamika kuwa mtu huwa anatoa rushwa pale anapohitaji kupewa huduma flani, je wewe ni huduma gani uliyoitaka kutoka kwa mshtakiwa hadi akuombe rushwa?
Mawenge: Alisema ili asinitoe kwenye vyombo vya habari kama fisadi
Hakimu: Je wewe ni fisadi?
Mawenge: Hapana mimi si fisadi, mwulize hata mke wangu mimi si fisadi kabisa bwana hakimu
Hakimu: Sasa kama wewe si fisadi kwa nini ulikubali kutoa rushwa? kwa nini usimpuuze tu kwa sababu hata akikutoa kwenye vyombo vya habari wewe si fisadi.
Mawenge: Ndio maana mheshimiwa hakimu nikaenda kumripoti polisi
Hakimu: Wewe ulikuwa mtumishi wa uma, je masuala ya rushwa huwa yanaripotiwa polisi au TAKUKURU? na je uliporipoti polisi, walikupatia pesa za moto ambazo ulitakiwa kumpa mshitakiwa?
Mawenge: Ah bwana Hakimu, unajua, kule kwetu Bagamoyo huwa hatujui tofauti kati ya polisi na TAKUKURU tunachojua wote ni polisi tu!! ...................
Ah kumbe naota mchana.!!
Ndugu yangu we ni katika kujaribu kupata picha ya comedy itakayotolewa mahakamani hapo lollol, wewe!!! Ila hayo maswali ni ya msingi sana hakimu lazima ayaulize na ndipo Kova na wenzie watakavyozidi kupata aibu. Let's wait.
===
Well, nina reservation moja tu.
Safari hii, polisi wanamshtaki adui yao ambaye hawawezi kumwomba rushwa. Kuna kila sababu kuwa wanaweza kuwa makini sana kwenye charging process kiasi cha kutushangaza. Muro anahitaji kuwa na mawakili makini.