Wrong.
Balthazar Johannes Vorster, better known as John Vorster, served as the Prime Minister of South Africa from 1966 to 1978 and as the fourth State President of South Africa from 1978 to 1979
Cheki kidogo walau WIKIPEDIA haraka haraka kabla ya kupost ma vitu ya ajabu ajabu humu jamani...
Ndio maana TBC wana get away with bizarre journalism with audiences like these.
Graca sio Gracegrace machel aliolewa na mandela
Achana nao hao. Nimefuatilia hizo post zao za kejeli nikabaki najiuliza hawa watu wanajua haya mambo au wanaokoteza mengine vijiwe vya viroba?Kwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??
Swali la msingi hapa ni, je Mandela ni Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini?Huyo ni mke wa mandela ww umemkariri win
Sasa hujaelewa nini hapo?TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
UKOSEFU WA ELIMU NA UFAHAMU LAKINI PIA UKADA JADIDIFUSwali la msingi hapa ni, je Mandela ni Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini?
Nina imani ndicho anachomaanisha mleta uzi.
Sasa nawewe huko TBC ulikuwa unatafuta nn, wenzako tuyakacha kitaaaaamboTBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Hakikini vyeti vya hao watangazaji isije ikawa wana ubashite ndani yaoTBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Mandela hakuwa rais wa kwanza wa Afrika Kusini ila rais wa kwanza MWEUSI.ukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
Graca Machel alikuwa mke wa Rais wa kwanza wa Msumbiji, hayati Samora Machel. Samora Machel aliuwawa mwaka 1986 kwa ajali ya ndege huko Mbuzini anga ya SA, ambayo yasemekana ilitunguliwa Na Makaburu wa Africa ya Kusini. Hivyo mama Graca akawa mjane. Mandela alikuwa Rais wa kwanza Mweusi wa Africa ya kusini tangu 1994-1999. Kwa marais waliotawala Africa ya kusini alikuwa wa 7 (saba). Alimuoa mjane Graca Machel miaka hiyo ya urais wake baada ya kushindwana Na mkewe Winnie Mandela. Kwa hiyo ilikuwa vema kusema ni mjane wa Rais wa kwanza mweusi wa South Africa.grace machel aliolewa na mandela
Bhaaasi, kama mpaka na majina ya watangazaji wa TBC unayajua, hatuna mtu hapa. Umebaki garasaWako makini Ukweli na uhakika hasa Asha Haji ambaye namkubali katika utangazaji.
MANDELA NI RAIS WA KWANZA MZALENDO WA A.KUSINIKwahiyo Mandela ndo rais wa kwanza Afrika Kusini???
Hivi hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza nini??